alphonce.NET
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,703
- 6,046
Dah! kama ndio huyo basi hatari sana, mi nimekula kitimoto mara ya mwisho juzi tuNdio huyo huyo Mbise. Huyo ndie aliyekutwa na vichwa vya mbwa. Anaitwa Mbise, mweupe. anauza supu na kitimoto. NI kama hilo jiko amelishikilia yeye.
Kitimoto haija "iharibu". Supu ya mbuzi ndio anachanganya na huyo mnyama. Mie amenifanya hata sitamani kunywa hata soda pale.Dah! kama ndio huyo basi hatari sana, mi nimekula kitimoto mara ya mwisho juzi tu
Kumbe siku nyingi basi atakuwa alishaacha huo mchezo siku hizi anafanya biashara ya nyama halali ndo maana ana wateja wengiWachina wamekuja siku za karibuni, na huo ushuzi wake ameufanya siku nyingi.
Naamanisha huo mchezo wa kuuza nyama ya mbwa ameanza siku nyingi hata kabla hao wachina hawajafungua kambi hapo. Alikamatwa mwezi huu tarehe za mwanzoni tu. Labda kama kaacha alivyotoka mahabusuKumbe siku nyingi basi atakuwa alishaacha huo mchezo siku hizi anafanya biashara ya nyama halali ndo maana ana wateja wengi
Sijajua kama huko polisi wanaangalia kadi za vyama vya siasa mkuu!!!Angekuwa na kadi ya chadema asingetoka huyo
Mie siku hizi hata sina hamu ya kula nyama kabisa yaani!!!!
mmh!!!Nyama ni nyama mbwa ni jina tu
Wasiwasi ndio maradhi
Acha uoga mkuu, wewe nyama ni nyama mbwa ni jina kwahyo kwahyo ukishakuwa buchani ile ni nyama sio mbwa tena
Watu wenye mawazo kama wewe ndio huwa wanashindwa kutofautisha Kitimoto na Nguruwe
Jamani!!!!Sasa mbwa naye si kitoweo tu kama mbuzi haha,dah siku nilipokula konokono ndipo nilijua ni utamu gani nilikuwa naukosa aisee.
Bundesiliga iko Nyasaka pale karibu na kituo cha mwisho cha magari. Vipi na kwenyewe wanauza "haramu"?!! maana mie lile ndio chimbo langu mara nyingi kwenye mapumziko ya mwisho wa wiki!!!!Usiende kula BundaSliga bar ipo kiloleni. Pale baba utalia!!!!!!
Kweli kuishi kwingi kuona mengi,konokono mtamu kama firigisi.Jaribu kutembelea migahawa wanayopika vyakula vya ki-Nigeria.Jamani!!!!
Hukohuko mkuu. Nyama choma inayouzwa kwanzia mida ya sa5 aisee hapana.Bundesiliga iko Nyasaka pale karibu na kituo cha mwisho cha magari. Vipi na kwenyewe wanauza "haramu"?!! maana mie lile ndio chimbo langu mara nyingi kwenye mapumziko ya mwisho wa wiki!!!!
Mie nina kinyaa sana. Kwa mfano hapa Mwanza kuna supermarket moja inaitwa U-TURN ambapo wanauza mavyakula yote ya wazungu zikiwemo na hizo konokono, nilishapata kinyaa siwezi hata kununua colgate kwenye hiyo supermarket!!!!Kweli kuishi kwingi kuona mengi,konokono mtamu kama firigisi.Jaribu kutembelea migahawa wanayopika vyakula vya ki-Nigeria.
Weweeee!!! niambie koma. Uwiii tena Jumamosi hii nilikuwa na mpango wa kwenda pale mapemaaa.Hukohuko mkuu. Nyama choma inayouzwa kwanzia mida ya sa5 aisee hapana.
hahahaah jamani pole sana,mie nilikua kama wewe sijui ujasiri nimeupata wapi kwa kweli.Nikipata mda nitajaribu kula chura nione ana ladha gani.Mie nina kinyaa sana. Kwa mfano hapa Mwanza kuna supermarket moja inaitwa U-TURN ambapo wanauza mavyakula yote ya wazungu zikiwemo na hizo konokono, nilishapata kinyaa siwezi hata kununua colgate kwenye hiyo supermarket!!!!
Mkuu fanya utafiti wako binafsi. Jmos we nenda.Weweeee!!! niambie koma. Uwiii tena Jumamosi hii nilikuwa na mpango wa kwenda pale mapemaaa.
Jamani, na jiko lao limesheheni vyakula vya kila aina. Mkurugenzi anapita kila meza kukagua kama wateja mko "fureshi"