hahahaah jamani pole sana,mie nilikua kama wewe sijui ujasiri nimeupata wapi kwa kweli.Nikipata mda nitajaribu kula chura nione ana ladha gani.
hahahah very funny.😵😵😳😳😳
kilambimkwidu sitaenda kwa kweli nimechafukwa nafsi. Kuna sehemu nyingine nako kule Luchelele, jina silikumbuki vizuri CHAKORIBIS sijui, yaani tangu nilivyowasikia wakitangaza eti wana nyama ya mamba, nzuri imetengenezwa kibrazili, nilishikwa kichefuchefu hata sitaki kwenda hapo kabisaMkuu fanya utafiti wako binafsi. Jmos we nenda.
hayaTuliza mshono wew si mmenunua wenyew kwani mlilaZimishwa
Kwani kula nyama ya mbwa ni kuvunja sheria? Hao askari walimkamata huyo mangi kwa kosa lipi.😡😡 Wakazi wa Mwanza, Mungu anawaona. Hii tabia iliyotamalaki ya kulisha watu kitoweo cha mnyama mbwa sijaipenda.
Tukio la kwanza lilitokea eneo maarufu Buswelu Centre, sehemu inayoitwa MSUKUMA PUB, kuna kaka pale anapika supu maarufu Mangi japo ni Mmeru anaitwa Mbise, wiki chache zilizopita alikamatwa usiku na askari wa doria akiwa na mzigo walipomtilia shaka na kumpekua akakutwa na VICHWA 4 (vinne) vya mbwa. Baada ya kubananishwa akakiri kuwa huwa anachanganya nyama ya mbwa na mbuzi, alikaa mahabusu siku kadhaa baadae wamemwachia anaendelea na biashara yake.
Tukio/matukio mengine ni kule sehemu za viwanja vya nane nane Nyamhongolo nako viliokotwa vichwa viwili (2) vya mbwa maeneo ya karibu na uwanjani, puuuuuuuuuuuuuuu!!! kumbe baadhi ya washenzi walikuwa wanachoma nyama za mbwa.
Tuhurumiane jamani, mbwa sio utamaduni wetu.
Chako wako poa. Wanaandaa vzuri sana. Wale wanayo ya mambo, ila hawakupi kama huitaki. Ni nzuri. Siku ukienda kajaribu kula. Mara ya kwanza mm ilikua mwaka jana, Nairobi kuna pub inaitwa CARNIVAL ...iko poakilambimkwidu sitaenda kwa kweli nimechafukwa nafsi. Kuna sehemu nyingine nako kule Luchelele, jina silikumbuki vizuri CHAKORIBIS sijui, yaani tangu nilivyowasikia wakitangaza eti wana nyama ya mamba, nzuri imetengenezwa kibrazili, nilishikwa kichefuchefu hata sitaki kwenda hapo kabisa
Alisha achiwa yuko mtaani anatesa kwa raha zakeKwani kula nyama ya mbwa ni kuvunja sheria? Hao askari walimkamata huyo mangi kwa kosa lipi.
Biblia inasema kimwingiacho mtu sio haramu bali kimtokacho. Kinachoingia mdomoni ni chakula ... kinachotokea pengine ndo uchafu.
uwiiii, puuuuuuuuuuuu mie siwezi kabisaChako wako poa. Wanaandaa vzuri sana. Wale wanayo ya mambo, ila hawakupi kama huitaki. Ni nzuri. Siku ukienda kajaribu kula. Mara ya kwanza mm ilikua mwaka jana, Nairobi kuna pub inaitwa CARNIVAL ...iko poa
Niambie Pm weekend hii tunakunywa wap coz naona vijiwe vyote unakimbia [emoji23]uwiiii, puuuuuuuuuuuu mie siwezi kabisa
Nadhani itakuwa vema niende pale Green, karibu na Chuo cha Uhasibu - NyakatoNiambie Pm weekend hii tunakunywa wap coz naona vijiwe vyote unakimbia [emoji23]
Ndiyo maana mimi nahamasisha watu kufuga. Ukihitaji nyama kamata kamfugo kako - chinja - banika, kula taratibu. Haya manyama ya kwenye baa shida tu!Alisha achiwa yuko mtaani anatesa kwa raha zake
Bora ya punda anafanana na Ng'ombeDodoma ukijichanganya unakula ya punda.
Kuna nini Bundasliga?Usiende kula BundaSliga bar ipo kiloleni. Pale baba utalia!!!!!!
Mi juzi nimekula ya mbuzi kabisaWeweeee!!! niambie koma. Uwiii tena Jumamosi hii nilikuwa na mpango wa kwenda pale mapemaaa.
Jamani, na jiko lao limesheheni vyakula vya kila aina. Mkurugenzi anapita kila meza kukagua kama wateja mko "fureshi"
Ushakula mbwa .si uko rock city ?[emoji23]Bora ya punda anafanana na Ng'ombe
Hapana na nimekariri ladha ya nyama nahisi ntaishtukia mapema mnoUshakula mbwa .si uko rock city ?[emoji23]