Mwanza hii tabia ya kutulisha mbwa acheni

Mwanza hii tabia ya kutulisha mbwa acheni

hahahaah jamani pole sana,mie nilikua kama wewe sijui ujasiri nimeupata wapi kwa kweli.Nikipata mda nitajaribu kula chura nione ana ladha gani.

😵😵😳😳😳
 
Mkuu fanya utafiti wako binafsi. Jmos we nenda.
kilambimkwidu sitaenda kwa kweli nimechafukwa nafsi. Kuna sehemu nyingine nako kule Luchelele, jina silikumbuki vizuri CHAKORIBIS sijui, yaani tangu nilivyowasikia wakitangaza eti wana nyama ya mamba, nzuri imetengenezwa kibrazili, nilishikwa kichefuchefu hata sitaki kwenda hapo kabisa
 
😡😡 Wakazi wa Mwanza, Mungu anawaona. Hii tabia iliyotamalaki ya kulisha watu kitoweo cha mnyama mbwa sijaipenda.

Tukio la kwanza lilitokea eneo maarufu Buswelu Centre, sehemu inayoitwa MSUKUMA PUB, kuna kaka pale anapika supu maarufu Mangi japo ni Mmeru anaitwa Mbise, wiki chache zilizopita alikamatwa usiku na askari wa doria akiwa na mzigo walipomtilia shaka na kumpekua akakutwa na VICHWA 4 (vinne) vya mbwa. Baada ya kubananishwa akakiri kuwa huwa anachanganya nyama ya mbwa na mbuzi, alikaa mahabusu siku kadhaa baadae wamemwachia anaendelea na biashara yake.

Tukio/matukio mengine ni kule sehemu za viwanja vya nane nane Nyamhongolo nako viliokotwa vichwa viwili (2) vya mbwa maeneo ya karibu na uwanjani, puuuuuuuuuuuuuuu!!! kumbe baadhi ya washenzi walikuwa wanachoma nyama za mbwa.

Tuhurumiane jamani, mbwa sio utamaduni wetu.
Kwani kula nyama ya mbwa ni kuvunja sheria? Hao askari walimkamata huyo mangi kwa kosa lipi.

Biblia inasema kimwingiacho mtu sio haramu bali kimtokacho. Kinachoingia mdomoni ni chakula ... kinachotokea pengine ndo uchafu.
 
kilambimkwidu sitaenda kwa kweli nimechafukwa nafsi. Kuna sehemu nyingine nako kule Luchelele, jina silikumbuki vizuri CHAKORIBIS sijui, yaani tangu nilivyowasikia wakitangaza eti wana nyama ya mamba, nzuri imetengenezwa kibrazili, nilishikwa kichefuchefu hata sitaki kwenda hapo kabisa
Chako wako poa. Wanaandaa vzuri sana. Wale wanayo ya mambo, ila hawakupi kama huitaki. Ni nzuri. Siku ukienda kajaribu kula. Mara ya kwanza mm ilikua mwaka jana, Nairobi kuna pub inaitwa CARNIVAL ...iko poa
 
Kwani kula nyama ya mbwa ni kuvunja sheria? Hao askari walimkamata huyo mangi kwa kosa lipi.

Biblia inasema kimwingiacho mtu sio haramu bali kimtokacho. Kinachoingia mdomoni ni chakula ... kinachotokea pengine ndo uchafu.
Alisha achiwa yuko mtaani anatesa kwa raha zake
 
Chako wako poa. Wanaandaa vzuri sana. Wale wanayo ya mambo, ila hawakupi kama huitaki. Ni nzuri. Siku ukienda kajaribu kula. Mara ya kwanza mm ilikua mwaka jana, Nairobi kuna pub inaitwa CARNIVAL ...iko poa
uwiiii, puuuuuuuuuuuu mie siwezi kabisa
 
chakula cha kuaminika hasa nyama ni mfugo uliochinja mwenyewe
 
Weweeee!!! niambie koma. Uwiii tena Jumamosi hii nilikuwa na mpango wa kwenda pale mapemaaa.
Jamani, na jiko lao limesheheni vyakula vya kila aina. Mkurugenzi anapita kila meza kukagua kama wateja mko "fureshi"
Mi juzi nimekula ya mbuzi kabisa
 
Back
Top Bottom