Mwanza imeharibika kwa ukahaba

Ila mnaowachukia makahaba nawashangaa mno!

Ujue makahaba hawapiti nyumba kwa nyumba kujiuza.

Wana maeneo yao maalumu wanajipanga huko.

Tena mara zote wao huenda kwenye maeneo yao nyakati za usiku.

Sasa wewe kipi unapungukiwa?

Maeneo yao si yanajulikana?

Kwanini upite mitaa hiyo kama wamekuwa kero kwako?
 
Ndugu labda hujaona maeneo wanayokaa hasa hapo Nyegezi yan ni njia inayowapitisha watu wa aina zote na ni njia kuu ya mtaa
 
Mmh mbona hata mchana wapo kwenye hizo guest hapo hapo hao makahaba wa Mwanza Nyegezi ni wasitaarabu na wako peace sana, paka uwasogelea mwenyewe, hawatukani mtu wala kumkera kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…