Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,205
- 33,287
Sana, wanajjheshimu sana😁Mmh mbona hata mchana wapo kwenye hizo guest hapo hapo hao makahaba wa Mwanza Nyegezi ni wasitaarabu na wako peace sana, paka uwasogelea mwenyewe, hawatukani mtu wala kumkera kabisa.