Mwanza imezizima wananchi wakesha kuusubiri mwili wa mpendwa wao hayati Magufuli utakaowasili saa 1:00 asubuhi!

Wamekeshaa wakiwa wapiii?
Na kwa hali ya hewa ya usiku huu walikaa eneo gani? Tupe picha tuone kiongozi.
 
Mwamba Wetu Shupavu Ona Amelala
Tanzania Mmepata Rais Jiwe Kweli Kweli Sitiswi
Sitishiki.
 
Mimi nasubiri kuona wale wakereketwa vipenzi wa marehemu watakao jitoa kuzikwa naye sababu ya mapenzi yao ya dhati kwake!
 
Wacha uwongo wewe jamaa.
 
Ndege iliyobeba Mwili wa Dk Magufuli tayari imeondoka Zanzibar kwenda Mwanza
 
Sio kweli. Mimi niko mwanza
 
Hata kama ni kusifu kuwe na mipaka. Hivi sasa roho yake inahamaki sifa hixi kwa sababu ipo katika uhalisia wake.

Mnyenyekevu (wa kiwango kidogo)
Mpenda haki na usawa (si kweli). Alibagua yeyote yule aliyempinga hata ikiwa kweli (hii ni hulka yake kwa mpinzani wake haikwepeki).

Ana mazuri kama mwanadamu ila tusizidishe apewe stahiki zake.
 
Huo n udhalilishaj kwa marehemu wala sio upendo.
Waafrika tunafanyaga yale yale kila siku.
Pesa ya kuuguza kidogo,pesa ya kuandaa mazishi kubwa.

Trump alkuwa sahihi,hizi nchi zetu znatakiwa kutawaliwa tena.
Kwa jinsi dunia inavyoenda speed,hatukupaswa kutumia muda wote huo kwenye mwili wa baridi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…