Mwanza imezizima wananchi wakesha kuusubiri mwili wa mpendwa wao hayati Magufuli utakaowasili saa 1:00 asubuhi!

Aliwabeba sana wasukuma sasa ni zamu ya wapemba
 
Ni una mental bankrupt sio bure. Yaan kama una akili timamu hauwezi jikosesha thamani kiasi hiki. Pamoja na kuwahurumia watu wenye akili kama zako, huwa naumia moyoni kusikia jitu linajiturumua eti bora nitawaliwe na mzungu kuliko kutawaliwa na mwsfrica menzangu. Kifupi umebakiza kujipaka kinyesi ili kuwa chizi kamili.
dunia nzima inaomboleza kifo cha shujaa wetu, wewe ni nani bado unamponda mawe tuuuuuu. Si ni shetani tu wewe.
 
Leo siku ya ngapi kwani... Nahisi kukinai sasa ..iishe sasa
 
Ndege iliyobeba Mwili wa Dk Magufuli tayari imeondoka Zanzibar kwenda Mwanza

Kwa hiyo??? Tuliza kiherehere - wewe sio mratibu wa tukio la leo. Ile sheria ya habari ilitungwa kwa watu kama ninyi.

Acheni hizi mambo tumalize kumzika mpendwa kwanza!!
 

Nani kakuambia Mwili utawasili Mwanza Saa 1 Kamili Asubuhi wakati hivi sasa naandika Ndege ndiyo imesharuka ( kama dakika 30 tu zilizopita ) kwenda Mwanza? Itatua huko Kuanzia Saa 2 na Robo hadi Saa 2 na Nusu au hata Saa 3 Kasorobo pia.
 
Asante kwa taarifa.
 
CCM utadhani wanafanya kampeni za uchaguzi,wanatumia nguvu kuwalazimisha wafanya kazi wahushurie,na hivyo kuongeza idadi ya watu.

CCM ni bora isingekuwepo.
 
Ni shujaa gani muuaji,katili na muonevu?
Labda ni shujaa wa chama.
 
Hawakuwa na kazi waliokesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…