Zombie S2KIZZY
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 826
- 1,622
Kwahiyo mtu akiongea kikabila ni mshamba au sioTatizo ni moja tu wasukuma ni washamba sana, nilifika Mwanza siku moja kwenye kivuko cha Kigongo-Busisi watu wanabishana mpira kwa kisukuma nikaona hawa mbuzi hawataendelea kwa sababu ya ukabila.
Yaani ukiona hivo wanawivu wa kutosha na chakushangaza wasukuma ndo wanazidi kupasua kila sekta! Kilimo,elimu ,biashara,madini,ufugaji nk! Angalia hata ujenzi wa shell hapo mwanza utaona wasukuma wanajenga sana1 BM,KATORO,LUGEYE ,NDONO na vitu kibao! Kijijini ndo usiseme watu wanashusha mijengo ya kutosha! Lakini wao walishajua pakumshambulia msukuma ni kumwita MSHAMBA na kwa bahati nzuri wasukuma wala hawanaga shida hata ukiwaita hivo!Kwahiyo mtu akiongea kikabila ni mshamba au sio
Wasukuma wana matatizo makubwa sanaTatizo ni moja tu wasukuma ni washamba sana, nilifika Mwanza siku moja kwenye kivuko cha Kigongo-Busisi watu wanabishana mpira kwa kisukuma nikaona hawa mbuzi hawataendelea kwa sababu ya ukabila.
Mkubwa ni mkubwa tu, kuwa mkubwa sio upendeleo takwimu ndio zitakufanya uonekane mkubwa au mdogo. Dodoma ijitahidi tu kujenga miundombinu ila kuja kuwa ya pili bado sana. Labda kwa ubora wa miundombinu sio kwa uchumiMwanza ni uchafu, Dodoma anastahili kuwa ya pili.
Babu wewe unahangaika nao tu wenzako wanatafuta pesa endelea kuwaita washamba huku mambo yao yanaenda na hawajawahi kuja kuomba msaada kwako! Nenda hapo Dar kwa wauzaji magari,bajaji ukaulize watu wa mikoa ya wapi wananunua magari na bajaji kukitoa Dar ndo utajua washamba wanahela sana!Wasukuma wana matatizo makubwa sana
Na wasukuma ndio kabila kubwa Tanzania yaan kabila lenye watu kibao Kuna mikoa Zaid ya mitano wenyej n wasukumaYaani ukiona hivo wanawivu wa kutosha na chakushangaza wasukuma ndo wanazidi kupasua kila sekta! Kilimo,elimu ,biashara,madini,ufugaji nk! Angalia hata ujenzi wa shell hapo mwanza utaona wasukuma wanajenga sana1 BM,KATORO,LUGEYE ,NDONO na vitu kibao! Kijijini ndo usiseme watu wanashusha mijengo ya kutosha! Lakini wao walishajua pakumshambulia msukuma ni kumwita MSHAMBA na kwa bahati nzuri wasukuma wala hawanaga shida hata ukiwaita hivo!
Unajua kuna watu ni wajinga sana! Kwanza wanaona mafanikio ya mwanza yote ni ya wasukuma kumbe kuna makabila kibao wanaishi Mwanza na kwa ajili hiyo wanakuwa na chuki na yeyote anayetokea Mwanza!Na wasukuma ndio kabila kubwa Tanzania yaan kabila lenye watu kibao Kuna mikoa Zaid ya mitano wenyej n wasukuma
Ukiachana na hvyo wasukuma walitoa raisi kutoka kwao Alf na wao ndy wanaamua uraisi ashinde nani.
Alf wasikalili Kila anaeishi au aliezaliwa Mwanza n msukuma
Mfano mm ñimezaliwa Mwanza Ila mm ni mkurya
Ndo wabongo walivyo yaan inawauma Sana wanaposkia Mwanza ni ya pili ikitoka darUnajua kuna watu ni wajinga sana! Kwanza wanaona mafanikio ya mwanza yote ni ya wasukuma kumbe kuna makabila kibao wanaishi Mwanza na kwa ajili hiyo wanakuwa na chuki na yeyote anayetokea Mwanza!
ushamba wetu hautupi vidonda na wala hautuzuii kumwagilia moyo wala kupush mandinga na kujenga majumba na kusomesha na kutupia jinzi kali na raba mtoni na chichi kali timbaland na matisheti mafubuMwanza Jiji la kishamba sana hilo
Kwamba Moshi Ni kubwa kuliko darPamoja na kuwa Mwanza ni mkoa wa pili kwa udogo wa eneo baada ya Dar es Salaam
Mkubwa ni mkubwa tu, kuwa mkubwa sio upendeleo takwimu ndio zitakufanya uonekane mkubwa au mdogo. Dodoma ijitahidi tu kujenga miundombinu ila kuja kuwa ya pili bado sana. Labda kwa ubora wa miundombinu sio kwa uchumi
Hata swhemu za starehe ni za ajabu ajabuMiundombinu ya Maji na Barabara za mitaa haijakaa sawa.
Mwanza kuna nini cha kuifanya ionekane ni mji mzuri?