MWANZA: Jiji la Pili kwa Ukubwa lakini halipewi hadhi yake

Tatizo ni moja tu wasukuma ni washamba sana, nilifika Mwanza siku moja kwenye kivuko cha Kigongo-Busisi watu wanabishana mpira kwa kisukuma nikaona hawa mbuzi hawataendelea kwa sababu ya ukabila.
Kwahiyo mtu akiongea kikabila ni mshamba au sio
 
Yaani ukiona hivo wanawivu wa kutosha na chakushangaza wasukuma ndo wanazidi kupasua kila sekta! Kilimo,elimu ,biashara,madini,ufugaji nk! Angalia hata ujenzi wa shell hapo mwanza utaona wasukuma wanajenga sana1 BM,KATORO,LUGEYE ,NDONO na vitu kibao! Kijijini ndo usiseme watu wanashusha mijengo ya kutosha! Lakini wao walishajua pakumshambulia msukuma ni kumwita MSHAMBA na kwa bahati nzuri wasukuma wala hawanaga shida hata ukiwaita hivo!
 
Mwanza ni uchafu, Dodoma anastahili kuwa ya pili.
 
Tatizo ni moja tu wasukuma ni washamba sana, nilifika Mwanza siku moja kwenye kivuko cha Kigongo-Busisi watu wanabishana mpira kwa kisukuma nikaona hawa mbuzi hawataendelea kwa sababu ya ukabila.
Wasukuma wana matatizo makubwa sana
 
Wasukuma wana matatizo makubwa sana
Babu wewe unahangaika nao tu wenzako wanatafuta pesa endelea kuwaita washamba huku mambo yao yanaenda na hawajawahi kuja kuomba msaada kwako! Nenda hapo Dar kwa wauzaji magari,bajaji ukaulize watu wa mikoa ya wapi wananunua magari na bajaji kukitoa Dar ndo utajua washamba wanahela sana!
 
Yaani ukiona hivo wanawivu wa kutosha na chakushangaza wasukuma ndo wanazidi kupasua kila sekta! Kilimo,elimu ,biashara,madini,ufugaji nk! Angalia hata ujenzi wa shell hapo mwanza utaona wasukuma wanajenga sana1 BM,KATORO,LUGEYE ,NDONO na vitu kibao! Kijijini ndo usiseme watu wanashusha mijengo ya kutosha! Lakini wao walishajua pakumshambulia msukuma ni kumwita MSHAMBA na kwa bahati nzuri wasukuma wala hawanaga shida hata ukiwaita hivo!
Na wasukuma ndio kabila kubwa Tanzania yaan kabila lenye watu kibao Kuna mikoa Zaid ya mitano wenyej n wasukuma
Ukiachana na hvyo wasukuma walitoa raisi kutoka kwao Alf na wao ndy wanaamua uraisi ashinde nani.
Alf wasikalili Kila anaeishi au aliezaliwa Mwanza n msukuma
Mfano mm ñimezaliwa Mwanza Ila mm ni mkurya
 
Unajua kuna watu ni wajinga sana! Kwanza wanaona mafanikio ya mwanza yote ni ya wasukuma kumbe kuna makabila kibao wanaishi Mwanza na kwa ajili hiyo wanakuwa na chuki na yeyote anayetokea Mwanza!
 
Mwanza kuna nini cha kuifanya ionekane ni mji mzuri?
Mkubwa ni mkubwa tu, kuwa mkubwa sio upendeleo takwimu ndio zitakufanya uonekane mkubwa au mdogo. Dodoma ijitahidi tu kujenga miundombinu ila kuja kuwa ya pili bado sana. Labda kwa ubora wa miundombinu sio kwa uchumi
 
Back
Top Bottom