MWANZA: Jiji la Pili kwa Ukubwa lakini halipewi hadhi yake

Miundombinu ya Maji na Barabara za mitaa haijakaa sawa.
Na hicho ndio tunakiomba, sasa mtu analeta usukuma na ushamba? Kweli kwa karne hii bado tunaongea ukabila? Nani kasema kwamba wanaoishi Mwanza wote ni wasukuma? Kuna makabila mangapi pale mjini tofauti na wasukuma wamewekeza biashara zao na zinaenda vizuri kushinda hata wasukuma wenyewe?
Tunaongelea mambo ya kijamii wao wanaleta mambo ya wasukuma, kwenye uzi kuna neno wasukuma limetajwa? Stupid
 
Hongera sana umeandika vilivo boss,,

Nakuomba mh rais wetu mpendwa Dr Samia SULUHU ,,utoe suluhisho kwetu tunakutegemea sana na KAZI zako tunaziona
 
andiko bora kabisa,
japo Mwanza ndio kuna chanzo kikubwa cha maji (lake victoria)
lakini maji ni changamoto sehemu kubwa ya jiji pia swala la miundombinu mwanza ipo nyuma sana barabara ni mbovu karibia kila kona ya mitaa hii ni kutokana na jiografia ya jiji,serikali itafute njia mbadala kutatua hii changamoto ya miundombinu,airport ndio usiseme majengo yake yanatia aibu sioni haja ya serikali kutokuiboresha ili iwe na hadhi ya kimataifa
 
I'm konki konki konki master,

Oil chafu HUWEZI ichafua itakuchafua TU naona wavuta bangi na umalaya wao kuuza spika za nyuma znapasuliwa na wazungu wamedemkia Uzi,, aisee huu Uzi unahusu mwanza na SIO sehemu ya kutaftia mabwana kama mlivozoea.

Nimeona dume moja anasema hakuna sehemu za starehe nazan anatafta pakujifichia akiwa anafanya biashara yake ya ukahaba sikia nikwambie ewe msenge na lesbian mwanza sio Chaka la kjifichia

KONKI KONKI KONKI MASTER OIL CHAFU,,,, aka MAMBA
 
Pamoja na kuwa Mwanza ni mkoa wa pili kwa udogo wa eneo baada ya Dar es Salaam

Uliandika hivo

That mean dar ndo ya kwanza kwa udogo wa eneo ..swali nikauliza inamaana Moshi Ni kubwa kuliko dar? Ukaleta chat ambayo pia inapinga maneno yako ya kwanza
Nilichokuwa namaanisha ni hiki, sasa hapa kwa mawazo yako Moshi inakuwaje kubwa kuliko Dar
View attachment 2599242
Bado unauliza Moshi inakuaje kubwa kuliko dar wakati chat yako inaonesha kabisa kuwa Moshi ni kubwa 😁 una matatizo wewe
 
Nyie akili hamunaga
 
Katika point zote alizoandika umetafta dosar ya typing error ndo unataka iwe big issue boss au mkoje nyie
 
Hiyo ilikuwa typing error ni kweli Moshi ni kubwa kwa eneo kuliko Dar
 
Ngoja nile nishibe then nirudi kuwatoa tena washamba mapangoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…