MWANZA: Jiji la Pili kwa Ukubwa lakini halipewi hadhi yake

MWANZA: Jiji la Pili kwa Ukubwa lakini halipewi hadhi yake

Dawa itaingia tu kidogokidogo, ulikuwa mbishi kwa Kahama lakini sasa hivi unakubali mwenyewe
Kahama namkubali Kwa lipi na nilibisha Kwa kipi?

Mwanza ni Moja ya Miji ya hovyo,soon mtapata kipindupindu kama wale wenzenu waliorundikana kama nyie
 
Uzuri wa Mwanza wilaya zake zinachangia pato kwa asilimia kubwa tofauti na kwingine ambako mapato yanapatikana kwenye halmashauri za jiji pekee huku wilaya zake zikiwa hoi bin taabani
Huko Bushi Sengerema,Ukerewe na Wilaya za hovyo kama hizo Zina mapato yapi? Unaogopa kuleta hata orodha..

Mwanza nzima walau hapo mjini ndio pananafuu kwingine ni hovyo kabisa
 
Huko Bushi Sengerema,Ukerewe na Wilaya za hovyo kama hizo Zina mapato yapi? Unaogopa kuleta hata orodha..

Mwanza nzima walau hapo mjini ndio pananafuu kwingine ni hovyo kabisa
Mkoa kuwa namba mbili kitaifa unafikiri ni mchezo?
Mbeya ni kubwa mara tano kwa eneo lakini hakuna chochote cha maana, ukitoa mjini sehemu zingine za ovyo kabisa
 
Mwanza jiji la kistaarabu halina magonjwa ya ajabu ajabu, watu wake ni wasafi na jiji lenyewe ni safi
Sehemu yeyote iliyorundikana watu kama zizi tegemea pindua pindua na hivyo Kuna Ziwa any time t kitanuka.
 
Back
Top Bottom