MWANZA: Jiji la Pili kwa Ukubwa lakini halipewi hadhi yake

Umemaliza kila kitu, nashukuru kwa kutusemea wana Mwanza kero zetu🙏🙏🙏
 
Kwa ujumla katika watu wenye miili mikubwa ila akili kisoda mojawapo ni wasukuma, nguvu nyingi akili kidogo. Wao hawaamini sayansi zaidi ya uchawi na ushirikina.
Mbona una chuki sana na wasukuma, kama huna hoja na huna la kuchangia kaa kimya, hujalazimishwa kuchangia, huo ukabila wako hautakusaidia kwa chochote.
 
Sijafika Mwanza kabisa ila nawaza kama kuchafu kuchafu sijui kwann!! Huwa nawaza hivyo pia Huwa nadhani hata usalama ni mdogo sana
Kama wewe ni mtoto wa mama ni bora ubaki huko huko Dar, huku watu wapo kikazi zaidi kuliko kufatilia umbeya na maisha ya wasanii.
 
Umesema hujawahi kufika mwanza na haya mambo umeyajulia wapi? Mnashida sana.
 
Wote mnao comment kuhusu wasukuma na usukuma ni wapumbavu na washenzi. Mleta mada kaeleza changamoto zinapaswa kutatuliwa nyie mnaongelea wasukuma, as if makabila mengine hayana changamoto wakati mmeloea kwenye ufukara wa kutisha. Jadili mada iliyoletwa jukwaani, wapumbavu nyie, washenzi kabisa. PUMBAVU KABISA.
 
Tunaomba Rais wetu kipenzi Dk Samia hapitie hizi kero na kuzifanyia kazi kama ikimpendeza
N.B machalii wa r naomba mpunguze shobo kwenye vitu serious kama hivi.
 
Lakini ni mkoa uliopiga maendeleo kuliko mikoa yote ya Wajanja, kumbe ushamba ni utajiri, na hatutaacha ushamba wetu, unatufanya tusukume ndinga na majumba makali makali.
Unadhani kuwa na ndinga Kali ndo unakuwa sio mshamba

Kama Ni hivo konde girl asingekuwa mshamba
 
Lakini ni mkoa uliopiga maendeleo kuliko mikoa yote ya Wajanja, kumbe ushamba ni utajiri, na hatutaacha ushamba wetu, unatufanya tusukume ndinga na majumba makali makali.
Unadhani kuwa na ndinga Kali ndo unakuwa sio mshamba

Kama Ni hivo konde girl asingekuwa mshamba
 
Pumbavu zako Jinga wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hadhi ni Mapato ,huna mapato unataka hadhi gani Sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…