MWANZA: Jiji la Pili kwa Ukubwa lakini halipewi hadhi yake

Wasukuma wa mwanza ni washamba sana, YAANI unakutana na jitu ni kubwa, nene, jeusi halafu pia jinga.
🤣🤣🤣🤣 ila nyinyi watu mna chuki bila sababu za msingi! Sasa hilo jitu jinga imekuwaje likawa hapo na ukakutana nalo wewe mjanja!
 
Waliambiwa wafyatue
 
Hongera mkuu umejitahidi kutiririka mama akipitia hpa atasikia hoja yako
 
Msijibizane na hao wehu mnajaza Uzi comments zisizo maana ebu kaushen watacomment na kjibizana wao

## I'm konki konki konki master #
 
GDP sio pesa ni conversion tuu
Kuna njia tatu za kupima GPD
expenditure approach (pesa iliyotumika ndani ya eneo)
income approach (mapato yote ndani ya eneo)
Output approach (thamani ya huduma na Bidhaa zilizozalishwa ndani ya eneo)...
.ukitumia njia zote tatu unapata jibu Moja ... trillion 12.6 Kwa mkoa wa mwanza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msijibizane na hao wehu mnajaza Uzi comments zisizo maana ebu kaushen watacomment na kjibizana wao

## I'm konki konki konki master #
Unajua hawa watu wanapenda kuwaona Wasukuma wakiwa nyuma kwa kila jambo! Wakiona wasukuma wanawapiga gap wanaanza kuhaha ndo maana hata Magufuli walikuwa hawamoendi si kwa sababu aliwakosea ila kwa vile ni Msukuma!
 
Hiyo migawanyo tu kwenye collection, kila idara inakusanya kivyake, lakini ukija ku sum up Mwanza namba mbili, utake usitake ndo ishakuwa hivyo
Mwanza Haina hadhi mnayoidai acheni kutuchosha basi 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…