Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa, Ado Shaibu, akiwasilisha taarifa ya kamati kuhusu ripoti ya CAG kwa miaka ya fedha 2023-2024 hadi 2024-2025, leo Novemba 3, 2026, ameeleza baadhi ya halmashauri ikiwemo Mwanza Jiji iliyotumia shilingi bilioni 1.48 kwa timu ya Pamba Jiji na Dodoma Jiji iliyotumia milioni 427.70 kufanya matumizi zaidi ya bajeti iliyoidhinishwa kinyume na mwongozo wa hesabu wa mwaka 2019
Amesema hali inayochochea matumizi yasiyo sahihi na kusababisha miradi iliyopangwa kutofanyika na kusababisha matumizi yaliyopangwa awali kutofanyika.
Amesema hali inayochochea matumizi yasiyo sahihi na kusababisha miradi iliyopangwa kutofanyika na kusababisha matumizi yaliyopangwa awali kutofanyika.