Pre GE2025 Mwanza: John Heche kuzungumza na Waandishi wa Habari Januari 5, 2025

Pre GE2025 Mwanza: John Heche kuzungumza na Waandishi wa Habari Januari 5, 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema, iliyosambazwa kote Duniani.

Na kwamba Mkutano huo utafanyika huko Mwanza Nchini Tanzania

Haijajulikana sababu ya Mkutano huo wala ambacho kitazungumzwa.

Zaidi angalia hapa

Screenshot_2025-01-03-20-00-28-1.png
 
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Chadema, iliyosambazwa kote Duniani.

Na kwamba Mkutano huo utafanyika huko Mwanza Nchini Tanzania

Haijajulikana sababu ya Mkutano huo wala ambacho kitazungumzwa.

Zaidi angalia hapa

View attachment 3191628
Chawa wa wakunja ngumi term hii mnakazi hamjui mkae na DJ mwamba au mstick na mropokaji lisu mtateseka sana mpaka uvhaguzi uishe
 
Chawa wa wakunja ngumi term hii mnakazi hamjui mkae na DJ mwamba au mstick na mropokaji lisu mtateseka sana mpaka uvhaguzi uishe
Nani chawa Kati ya wewe na Wanahaharakati wa kutetea haki za kuishi, kutokutekwa, katiba mpya na maisha Bora kwa Kila mtanzania?
 
Lissu Mwenyekiti

Heche Makamu Mwenyekiti

Hapa hata kama unaichukia Chadema lazima utaipenda tu!

Hawa ndo aina ya Wanasiasa wanaohitajika nchini Tanzania kwa kipndi hiki.

Hehe 100 %. Wenje Big No.

Wenje hana track record yeyote nationality. Issue ya Abdul na Mama yake ndiyo inamuibua.
 
Lissu Mwenyekiti

Heche Makamu Mwenyekiti

Hapa hata kama unaichukia Chadema lazima utaipenda tu!

Hawa ndo aina ya Wanasiasa wanaohitajika nchini Tanzania kwa kipndi hiki.
Unafikiri chama kinaongozwa kwa purukushani.
 
Nkurunzinza akisikia hii taarifa konyagi zitamdondosha kutokea ghorofa ya tatu.
 
Back
Top Bottom