benzemah
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 1,533
- 3,187
Kamanda Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa akizungumza na waandishi wa habari mkoani humo ameeleza kuhusu tukio la mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Marco Samwel (32) ALIYEJIKATA NA KUONDOA KABISA UUME WAKE.
Kamanda Mutafungwa ameeleza kuwa lengo la kijana huyo lilikuwa ni kujitoa uhai kutokana na kuugua kwa muda mrefu bila kupona.
Alisema kuwa mtu huyo anaendelea kupatiwa matibabu na anaendelea vizuri chini ya ulinzi wa polisi na pindi akipona, atafikishwa mahakamani kwa kosa la kujijeruhi.