Mwanza: kuna Haja ya Uwanja wa Stand ya zamani Nyegezi kubadilishwa na kujenga Hospital

Mwanza: kuna Haja ya Uwanja wa Stand ya zamani Nyegezi kubadilishwa na kujenga Hospital

Dalton Elijah

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2022
Posts
968
Reaction score
1,978
Mara baada ya standi ya zamani nyegezi kuhamishwa tunashauri manispaa ya nyamagana kutumia eneo la stand ya zamani nyegezi kwa ajili ya kutenga na kujenga hospital kubwa Nyamagana

Kwani Hospitali kuu ya wilaya ya nyamagana ambayo inapatikana mkuyuni karibu na Butimba kwa sasa naona kama haiwezi kukudhi matumizi na ongezeko la idadi ya wagonjwa

Tunaushauri kwa sababu ukianza kuona eneo lilipo hospital ya nayamgana ni dogo sana

Kwa sasa Eneo hilo lipo wazi likiwa halina kazi yoyote tunaishauri serikali ichukue hatua za kujenga hospital kwa ajili ya kuendeleza eneo hilo amabalo limeonekana kama halina matumizi ndani ya manispaa ya Nyamagana.
 
Back
Top Bottom