Mwanza kuna nyumba huwa inaungua kila baada ya muda fulani

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,721
Reaction score
21,959
Ndio hivyo bwana.

Kuna nyumba huwa inaungua, gari ya zimamoto inakuja inazima Moto, kisha jamaa anafanya ukarabati baada ya muda fulani tukio linajirudia tena.

Mpaka Sasa majirani tumeshazoea kabisa.

Udhurumati sio kitu poa wadau.

Tafuteni vitu vya halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…