Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza, yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni yamekamilika.
Leo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Benson Kigaila ameongoza kikao cha Wadau kwa ajili ya kuwezesha maandamano hayo ya amani kwa viwango vya Kimataifa.
Habari nyingine zinaeleza kwamba , baada ya Maandamano hayo ya Tarehe 15/02/2024 , Viongozi wa Chadema wataelekea Monduli ili kushiriki Mazishi ya Lowassa
==========