Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
NdioMkutano furahisha utakuwepo kama ilivyoripotiwa awali?
Ni heri ,watanzania ni vema wakaamka na kuanza kutuma ujumbe kwa watawala utakaowafanya waje kusikiliza kero zinazosababishwa na poor service delivers, push back na sio kulalama humu, 1976 maandamano ya wanafunzi pale Orlando's west ndio yalibadilisha chemistry ya SA, sio uongo wa anc, Azaria,or pac,tusile nyasi tena eti president apate presidential jet!!!,Mwanza oyeeee, show the way
usiondoke jfYana tija gani hayo matembezi valentine jogging!
Nchi ikiondokana na hili jinamizi ccm utawekwa huru kijana, utafurahia maishaYana tija gani hayo matembezi valentine jogging!
Ukimuondoa ccm ukamuweka chadema nikama umemuondoa teja ukamuweka mlevi, wote wahuni tu.Nchi ikiondokana na hili jinamizi ccm utawekwa huru kijana, utafurahia maisha
Acha kudharau njia ya kukomboa nchi kutoka kwa mafisadi ccm
Sipendi kuwa mnafikiTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza , yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni yamekamilika .
Leo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema , Benson Kigaila ameongoza kikao cha Wadau kwa ajili ya kuwezesha maandamano hayo ya amani kwa viwango vya Kimataifa
View attachment 2903052View attachment 2903048
View attachment 2903053
Habari nyingine zinaeleza kwamba , baada ya Maandamano hayo ya Tarehe 15/02/2024 , Viongozi wa Chadema wataelekea Monduli ili kushiriki Mazishi ya Lowassa
kaofisi ka kupanga ni kabaya kama banda la kuku kako Nyegezi stand karibu na Kamanga Hospital nimeona Leo watu wakilipwa posho za kuandamana hafu ni kiduchu kwelikweliTaarifa ikufikie popote ulipo kwamba , Maandalizi ya Maandamano ya Amani ya kupinga Ugumu wa Maisha , dhiki na ufukara uliopitiliza , yalioambatana na kupinga Miswada mibovu ya Sheria za Uchaguzi iliyowasilishwa bungeni yamekamilika .
Leo Naibu Katibu Mkuu wa Chadema , Benson Kigaila ameongoza kikao cha Wadau kwa ajili ya kuwezesha maandamano hayo ya amani kwa viwango vya Kimataifa
View attachment 2903052View attachment 2903048
View attachment 2903053
Habari nyingine zinaeleza kwamba , baada ya Maandamano hayo ya Tarehe 15/02/2024 , Viongozi wa Chadema wataelekea Monduli ili kushiriki Mazishi ya Lowassa
Hayakaofisi ka kupanga ni kabaya kama banda la kuku kako Nyegezi stand karibu na Kamanga Hospital nimeona Leo watu wakilipwa posho za kuandamana hafu ni kiduchu kwelikweli
Usilie , Mambo badoWataandamana hadi ofisi za Umoja wa Mataifa zilizoko mtaa wa Furahisha, Mwanza? Zile ofisi za UN za Dar zililiziba masikio? Kweli CHADEMA ni Bongo Movie.
una maana gani ?Umeme