Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Hawa ni wapuuzi na ni bora wavurushwe hapa mjini kwanini wanaponda mawe?Wamachinga wa Mwanza waliandamana leo kupinga maamuzi ya uongozi wa soko la makoroboi la kuwahamisha
Wamachinga hao wametaka ujumbe umfikie Rais Samia kuwa wananyanyasika na kama wanataka kuharamisha umachinga basi wawatafutie kazi nyingine za kufanya
View attachment 2510525
Halijakukuta jitu wwHawa ni wapuuzi na ni bora wavurushwe hapa mjini kwanini wanaponda mawe?
Mkuu, binadamu akiwa na hasira ni kawaida kufanya mambo ya ajabu. Alafu sometime ukute hao wanaoponda hata sio machinga,CCM ni kaole part two labda wametuma watu hapo warushe maweHawa ni wapuuzi na ni bora wavurushwe hapa mjini kwanini wanaponda mawe?
Amekula anakula paye yake kila mwisho wa mwezi ama yupo kwa shemu so ame relax hajui Kuna Wana hawana connection wanapigana kwa jasho damu tope vumbi na mvua yao na wanyama wakali pia.Halijakukuta jitu ww
Ukijifunza kuvaa viatu vya Mtu Fulani wakati Fulani utakuwa Una hekima na busara.Watolewe kabisa kwasababu wanaziba njia na kuchafua mazingira.
Ipo siku wewe utakufa na hata mbwa wako hatajua! RIP MAGUFULI!Wewe sijui kama uko sawa kichwani, kazikwe nae huyo aliekufa kwasababu ya kuleta ushamba wa kisukuma.
Hawaku sumbuliwa kama Sasa Ila walisumbuliwaWamachinga wa Mwanza waliandamana leo kupinga maamuzi ya uongozi wa soko la makoroboi la kuwahamisha
Wamachinga hao wametaka ujumbe umfikie Rais Samia kuwa wananyanyasika na kama wanataka kuharamisha umachinga basi wawatafutie kazi nyingine za kufanya
View attachment 2510525
Kweli aelewi kitu na watu wa hivi mara nyingi ni ma kkbAmekula anakula paye yake kila mwisho wa mwezi ama yupo kwa shemu so ame relax hajui Kuna Wana hawana connection wanapigana kwa jasho damu tope vumbi na mvua yao na wanyama wakali pia. Ama hajachwki Hawa watt waliodandia gari from bukoba to mwanza kusaka maisha. Kuna mtu anaongea yaani unaona kabisa huyu analishwa ama akarithi Mali hajui jasho la kuzipata ama akasoma akamaliza Friday jumatatu job so hajui any ugumu binadamu wenzao wanaopitia
Ukijifunza kuvaa viatu vya Mtu Fulani wakati Fulani utakuwa Una hekima na busara.
Ipo siku wewe utakufa na hata mbwa wako hatajua! RIP MAGUFULI!
Kwa Mwanza ni sawa wakisema hivyo. Walikuwa maalum.Wamachinga wa Mwanza waliandamana leo kupinga maamuzi ya uongozi wa soko la makoroboi la kuwahamisha
Wamachinga hao wametaka ujumbe umfikie Rais Samia kuwa wananyanyasika na kama wanataka kuharamisha umachinga basi wawatafutie kazi nyingine za kufanya
View attachment 2510525
Mpaka siku watanzania wayakaposema enough is enough ndio haya majizi yatabadilika.Wamachinga wa Mwanza waliandamana leo kupinga maamuzi ya uongozi wa soko la makoroboi la kuwahamisha
Wamachinga hao wametaka ujumbe umfikie Rais Samia kuwa wananyanyasika na kama wanataka kuharamisha umachinga basi wawatafutie kazi nyingine za kufanya
View attachment 2510525
Ebu acha kutetea upumbavu yaani ugumu wako wa maisha ukufanye uje kuponda duka langu mawe kwani mm ndo chanzo cha shida zako.Amekula anakula paye yake kila mwisho wa mwezi ama yupo kwa shemu so ame relax hajui Kuna Wana hawana connection wanapigana kwa jasho damu tope vumbi na mvua yao na wanyama wakali pia. Ama hajachwki Hawa watt waliodandia gari from bukoba to mwanza kusaka maisha. Kuna mtu anaongea yaani unaona kabisa huyu analishwa ama akarithi Mali hajui jasho la kuzipata ama akasoma akamaliza Friday jumatatu job so hajui any ugumu binadamu wenzao wanaopitia
Sijakubalana na hao wanaoponda mawe kwenye maduka ya watu na wanastahili hata kuuliwa ili wajue kuwa nchi Ina ulinzi na amani.Ebu acha kutetea upumbavu yaani ugumu wako wa maisha ukufanye uje kuponda duka langu mawe kwani mm ndo chanzo cha shida zako.
Kama wana hasira basi waende wakaziponde mawe ofisi za CCM maana ndo chanzo cha hayo maisha magumu waache upumbavu.
Samia akija kuendekaza hizi siasa za maji taka nchi hii itaingia kwenye matatizo makumbwa.