GE2025 Mwanza: Magari ya Polisi yafanya doria usiku huu wakati Taifa likisubiri maandamano

GE2025 Mwanza: Magari ya Polisi yafanya doria usiku huu wakati Taifa likisubiri maandamano

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Wakuu

Nasikia huko Mwanza walianza doria usiku wa kuamkia leo.

Yani magari tu na ving'ora vilikuwa vikisikika usiku kama video inavyoonesha

Kiukweli kabisa yani organizers wa haya maandamano wameweza kuwasumbua hawa watu

 
Tanzania siyo nchi ya maandamano. Hao wahamasishaji maandamano wanategemea waliowahamasisha ndiyo waingie barabarani.

Nao waiohamasishwa wanahamadmasisha wengine, matokeo yake hakuna mtu anaingia barabarani.

Nchi ya maandamano wala haiogopi magari ya Polisi!! Kwani Polisi wenyewe wako wangapi??
 
Hii nchi ina laana bila shaka, haiwezekani mafisadi wapiganiwe kwa kiwango hicho huku wanaopambania wananchi wakipotezwa.
 
Wakuu

Nasikia huko Mwanza walianza doria usiku wa kuamkia leo.

Yani magari tu na ving'ora vilikuwa vikisikika usiku kama video inavyoonesha

Kiukweli kabisa yani organizers wa haya maandamano wameweza kuwasumbua hawa watu

Kwahiyo umeamka uandamane? Au umeamka upige pocha hari za polisi?
 
Hebu niambie hiyo nguvu yote inatumika kutetea walanguzi, kuna kitu hakiko sawa. Hawa jamaa wamekuwa de-programmed kiaina fulani, they dont operate with a full deck
 
Back
Top Bottom