nonsenseView attachment 3544959
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Mwanza, imetoa uamuzi wa kihistoria kwa kuzuia upande wa Jamhuri kutumia mashahidi wa kificho au siri katika kesi zote za jinai, ikitangaza kuwa utaratibu huo ni kinyume cha katiba ya nchi.
Jopo la Majaji watatu- Jaji Fahamu Mtulya, Jaji K.S Kamana na Jaji W.M Chuma leo limebatilisha Kifungu cha 194 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) baada ya kubaini kuwa kifungu hicho kinampa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) mamlaka makubwa na ya kipekee ya kuomba ulinzi wa shahidi bila kumpa mshtakiwa haki sawa ya kuhoji, jambo linalokiuka haki ya kusikilizwa kwa pande zote mbili.
Mahakama imetoa muda wa miezi 12 kwa Serikali na AG kufanya marekebisho ya sheria hiyo
Kundi la mawakili 13, likiongozwa na Wakili Mwandamizi Constantine Mutalemwa, liliwakilisha mleta maombi, Wakili Godfrey Mjuni Martin Basasingohe, katika kesi ya kikatiba namba 22482/2025 dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na DPP.
Miongoni mwa hoja zilizowasilishwa ni kuwa sheria hiyo inawaficha mashahidi badala ya kuwalinda, hali inayotoa mwanya kwa mtu mmoja kutoa ushahidi mara nyingi kwa kutumia majina tofauti.
because of your nonsense mayhem, I think you are confused gentleman, right?Are You Normal?!
calm down,Ww ni mpuuzi sana
calm down gentleman with empty headI thought of have a serious mental case
View attachment 3544959
Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Mwanza, imetoa uamuzi wa kihistoria kwa kuzuia upande wa Jamhuri kutumia mashahidi wa kificho au siri katika kesi zote za jinai, ikitangaza kuwa utaratibu huo ni kinyume cha katiba ya nchi.
Jopo la Majaji watatu- Jaji Fahamu Mtulya, Jaji K.S Kamana na Jaji W.M Chuma leo limebatilisha Kifungu cha 194 cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai (CPA) baada ya kubaini kuwa kifungu hicho kinampa Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) mamlaka makubwa na ya kipekee ya kuomba ulinzi wa shahidi bila kumpa mshtakiwa haki sawa ya kuhoji, jambo linalokiuka haki ya kusikilizwa kwa pande zote mbili.
Mahakama imetoa muda wa miezi 12 kwa Serikali na AG kufanya marekebisho ya sheria hiyo
Kundi la mawakili 13, likiongozwa na Wakili Mwandamizi Constantine Mutalemwa, liliwakilisha mleta maombi, Wakili Godfrey Mjuni Martin Basasingohe, katika kesi ya kikatiba namba 22482/2025 dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG) na DPP.
Miongoni mwa hoja zilizowasilishwa ni kuwa sheria hiyo inawaficha mashahidi badala ya kuwalinda, hali inayotoa mwanya kwa mtu mmoja kutoa ushahidi mara nyingi kwa kutumia majina tofauti.
Sidhani mtu mwenye uwendawazimu kamanonsense
Aisee.! Si Kwa Kiwango hiki lakini...! Kisa buku 10 tu ?Tena mgawaji ni Habibu Mchange??calm down,
tuliza mihemko useless gentleman, umeharibiwa na kuathiriwa pakubwa na chadema hadi huruma
Are You Normal?!
Tlaatlah ni mental problem case. Ni mtu wa kuonewa huruma. Naamini hata yeye hapendi kuwa hivyo alivyo. Na bahati mbaya wagonjwa wa akili huwa hawajitambui. Pamoja na tatizo la akili alilo nalo, wala hawezi kuwa anajitambua ni mwenye tatizo.
Hakika mkuu.Tlaatlah ni mental problem case. Ni mtu wa kuonewa huruma. Naamini hata yeye hapendi kuwa hivyo alivyo. Na bahati mbaya wagonjwa wa akili huwa hawajitambui. Pamoja na tatizo la akili alilo nalo, wala hawezi kuwa anajitambua ni mwenye tatizo.