Mwanza Mamlaka ya maji taka Mjitafakari

Mwanza Mamlaka ya maji taka Mjitafakari

Torra Siabba

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
243
Reaction score
287
Ilipo Stand ya Igombe, Mtaa wa Posta Jijini Mwanza jirani yake kuna chemba ya kusafirisha maji machafu (Mavi) sasa chemba imefumuka ina wiki sasa.

Eneo lile linatoa harufu ile mbaya, maji yanatiririka kiasi kwamba kuna chembechembe za vinyesi ambazo zinaonekana na kuhatarisha afya za watu ikizingatia kwamba mtu ni Afya, inatishia mlipuko wa magonjwa mbalimbali ikiwemo Kipindupindu.

Hivyo, tunawaomba Mamlaka wasaidie kuhakikisha kwamba ile chemba inakuwa sawa au wanasubiri magonjwa yaanze kusambaa kisha ndio waanza kukimbizana kutafuta tiba!

8ae2407a-3250-4b16-989d-8f1e3fa2296c.jpg


d59a66ee-df7e-400b-92f9-3db6e29c8e47.jpg
 
This is Africa no body care......,ikitokea milipuko ya magonjwa utaona camera zikielekea huko...
 
Back
Top Bottom