Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Huko Misungwi mkoani Mwanza Mawakala wa Uchaguzi wapongeza zoezi la kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Soma pia: Matokeo ya Uchaguzi Mwanza yaanza kutangazwa, CCM yaongoza maeneo mengi ikifuatiwa na CHADEMA
Ina maana kuwa hawa mawakala hawakuona changamoto zilizojitokea kwenye Uchaguzi au ndo kujitoa akili?