Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Nov 28, 2024 #1 Wakuu, Huko Misungwi mkoani Mwanza Mawakala wa Uchaguzi wapongeza zoezi la kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Soma pia: Matokeo ya Uchaguzi Mwanza yaanza kutangazwa, CCM yaongoza maeneo mengi ikifuatiwa na CHADEMA Ina maana kuwa hawa mawakala hawakuona changamoto zilizojitokea kwenye Uchaguzi au ndo kujitoa akili? Your browser is not able to display this video.
Wakuu, Huko Misungwi mkoani Mwanza Mawakala wa Uchaguzi wapongeza zoezi la kupiga kura katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Soma pia: Matokeo ya Uchaguzi Mwanza yaanza kutangazwa, CCM yaongoza maeneo mengi ikifuatiwa na CHADEMA Ina maana kuwa hawa mawakala hawakuona changamoto zilizojitokea kwenye Uchaguzi au ndo kujitoa akili? Your browser is not able to display this video.