Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
πππIla we jamaa bana!Kweli kabisa mkuu, bidhaa ni nzuri sana,, baada ya SkyVPN kuzingua hebu tu Sasa tuingie kwenye biashara ya Micheleπ€£π€£(Joking)
πππππIla we jamaa bana!
Hem tulia na mavpn yakoπ€£π€£
Frankly, mchele wa maana sana.. mkuu hujui tu ila me mwenyewe ndo biashara zangu za nafaka zinazonifanya nishibe hapa mjiniπView attachment 2177726
mchele wenyewe sasa...
Mkuu tunapambana hivyo hivyo tu ili mradi vpn za maisha zisongeπ πF
Frankly, mchele wa maana sana.. mkuu hujui tu ila me mwenyewe ndo biashara zangu za nafaka zinazonifanya nishibe hapa mjiniπ
So naapreciate sana hii kitu
πππIla we jamaa bana!
Hem tulia na mavpn yakoπ€£π€£
Sasa unatuambia tukuache uteseke maana yake nini?Uliniambia nina gundu sitakaa nisahau hii kitu kila nikiona id yako aisee halafu bila ya kosa lolote ndugu.
Naona umehamia kwenye mchele kaka. VPN vipi mkuu...?
π π π πMimi Bado nipo kusubiri kukukumbusha kuhusu ile 3mπ
Mungu akutangulie mpendwa ufikie malengo..π π π π
Thanks with love.
imefika laki 8.
malengo ni makubwa Ina.
nikumbushe Tu by Jan 1 2023 ukikumbuka nakupa hela ya supu uanze mwaka mpya na tabasam