Jimmy ally
Senior Member
- May 11, 2017
- 156
- 279
Mwanza mida ya saa 1&2 usiku mgambo waliingia katka soko la Mbugani walikohamishiwa machinga na akina mama wauza mbogamboga na samaki, na kuwapiga waliokuwa wamepanga mbogamboga pamoja na samaki, na kupigwa pamoja na kumwagiwa bihashara zao pamoja na kunyanganywa samaka.
Katika tukio ilo wawil walipigwa mpaka kuzimia kwa kumwaga damu nyingi pamoja watatu kuvunjika miguu, walipelekwa hospitali ya Bugando, sababu kuu ikiwa eti hawajapanga juu ya meza.
Katika tukio ilo wawil walipigwa mpaka kuzimia kwa kumwaga damu nyingi pamoja watatu kuvunjika miguu, walipelekwa hospitali ya Bugando, sababu kuu ikiwa eti hawajapanga juu ya meza.