Kalebejo
Member
- Sep 24, 2022
- 9
- 4
Kwanza Kabisa nampongeza Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwa jitihada zake za kuboresha mazingira ya shule za msingi nchini lakini ninachotaka kusema ni kuwa waziri wako wa elimu ameshindwa kabisa kufikia matamanio yako ya kuona watoto wa watanzania wanyonge wanapata elimu bora kama watoto wao.
Shule ya Msingi Kilimahewa iliyopo kata ya Nyamanoro wilaya Ilemela mkoa wa Mwanza ni moja ya shule sasa huo sio ufisadi bali ni wizi kabisa watoto kila siku wanapigwa kisa pesa ya maji, tuisheni na pesa ya usafi na hali hiyo sasa watoto wengi hawafiki shule kutokana na wazazi wao kutowapatia pesa na wao ndio wanaadhibiwa.
Je, ni haki? Kwanini wasiadhibu wazazi ambao wanatafuta pesa?
Wasalamu