johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Nimeona kupitia Star tv Mkuu wa Wilaya Mh Makilagi akiwataka Wananchi wajitolee kuchimba Misingi ya madarasa halafu wahisani wa kujenga watatafutwa
Makilagi alikuwa kwenye Shule ya Msingi inayotumia Jina la Kiongozi mmoja Mkuu hapa nchini
Makilagi amesema katika Shule hiyo Wanafunzi 250 wanatumia darasa Moja kwa Wakati mmoja
Nimeshangaa kupita maelezo
Kwaresma njema!