johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wawashambulie Star tvUnabahati ID yako kificho.
Ccm itakushambulia sio mda
Shetani, kumbe kaka yake Shetani, si uitaje jina kama sio uongooo au bado unamuogopa mwamba japo hayupo.Kuna lizee limoja lilopita linakwambia pesa ya ndani inajenga.
Kuna hospitali x imejengwa na.msaada wa USAID alafu linajisifu mapato ya ndani
Shujaa alitisha sanaShetani, kumbe kaka yake Shetani, si uitaje jina kama sio uongooo au bado unamuogopa mwamba japo hayupo.
Kwa ajili gani.mkielezwa kuhusu alikuwa mtu wa ovyo mnabisha ,mtapata kujionea sio kutafuniwa na kumezeshwaShetani, kumbe kaka yake Shetani, si uitaje jina kama sio uongooo au bado unamuogopa mwamba japo hayupo.
Magufuli anawatesa wengi, miaka mitatu tunakaribia bado ni yeye tu.Kuna lizee limoja lilopita linakwambia pesa ya ndani inajenga.
Kuna hospitali x imejengwa na.msaada wa USAID alafu linajisifu mapato ya ndani
Kwani babu yako mzaa baba yako hakutesi baada baada kuchezea pesa leo mpo masikini ukoo wenuMagufuli anawatesa wengi, miaka mitatu tunakaribia bado ni yeye tu.
Anateseka mweyewe huko aliko Kwa uongo na uwizi uliopidukiaMagufuli anawatesa wengi, miaka mitatu tunakaribia bado ni yeye tu.
Mbona hukushangaa fedha za pre bargain kufichwa China! Na kali zaidi Mwigulu anamdanganya Rais fedha za benki kuu zimejenga madarasa kumbe zimehamishiwa Seychelles na badala yake anakopa kutoka nje!Nimeona kupitia Star tv Mkuu wa Wilaya Mh Makilagi akiwataka Wananchi wajitolee kuchimba Misingi ya madarasa halafu wahisani wa kujenga watatafutwa....
Labda tujiulize Vyama vya Upinzani vinapata wapi pesa?!Mbona hukushangaa fedha za pre bargain kufichwa China! Na kali zaidi Mwigulu anamdanganya Rais fedha za benki kuu zimejenga madarasa kumbe zimehamishiwa Seychelles na badala yake anakopa kutoka nje!
Kwani we John umeshangaa tu Mwanza? Dar karibu shule zote za pembezoni mwa mji watoto wengi wanakaa chini hadi sekondari na ole wake aende mwandishi wa habari atakiona cha mtema kuni na mkuu wa shule hiyo atajuta.Nimeona kupitia Star tv Mkuu wa Wilaya Mh Makilagi akiwataka Wananchi wajitolee kuchimba Misingi ya madarasa halafu wahisani wa kujenga watatafutwa...
Hii shule iko sayari gani maana tumejenga madarasa mengi kila shule kwa fedha za COVID - 19?Nimeona kupitia Star tv Mkuu wa Wilaya Mh Makilagi akiwataka Wananchi wajitolee kuchimba Misingi ya madarasa halafu wahisani wa kujenga watatafutwa
Makilagi alikuwa kwenye Shule ya Msingi inayotumia Jina la Kiongozi mmoja Mkuu hapa nchini
Makilagi amesema katika Shule hiyo Wanafunzi 250 wanatumia darasa Moja kwa Wakati mmoja
Nimeshangaa kupita maelezo
Kwaresma njema!
Magufuli anawatesa wengi, miaka mitatu tunakaribia bado ni yeye tu.
Serikali ya kishenzi sana hii! Polisi wake, usalama wa Taifa wake, DPP wake, mahakama yake halafu unauliza swali la kijinga kama hilo!Labda tujiulize Vyama vya Upinzani vinapata wapi pesa?!
Hapo mkuu wa wilaya kaenda na V8 mpya kabisa kuongea hayo.Nimeona kupitia Star tv Mkuu wa Wilaya Mh Makilagi akiwataka Wananchi wajitolee kuchimba Misingi ya madarasa halafu wahisani wa kujenga watatafutwa
Makilagi alikuwa kwenye Shule ya Msingi inayotumia Jina la Kiongozi mmoja Mkuu hapa nchini
Makilagi amesema katika Shule hiyo Wanafunzi 250 wanatumia darasa Moja kwa Wakati mmoja
Nimeshangaa kupita maelezo
Kwaresma njema!