Mwanza: Mkurugenzi wa Jiji anusurika kupigwa na Wamachinga waliopo pembezoni mwa barabara ya Pamba

beth

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
3,881
Reaction score
6,377
Wafanyabiashara wadogo maarufu machinga waliopo pembezoni mwa barabara ya Pamba na mtaa wa Sokoni jijini Mwanza, ambao wanatakiwa kuhamia soko kuu la muda eneo la kata ya Mbugani, wamezua tafrani baada ya kutaka kumshambulia mkurugenzi wa halmashauri ya jiji hilo Kiomoni Kibamba wakati akitoa maelekezo ya kuwataka kupisha maeneo hayo.

Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa Machinga mkoani Mwanza Mahida Suleiman amesema tayari maeneo yote yamejaa wafanyabiashara wadogo, huku Bi. Anastazia Wambura ambaye ni mjasiriamali akiziomba mamlaka kuheshimu maelekezo ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ya kutowabugudhi machinga.

Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba amesema timu ya wataalam 6 kutoka jiji itapita kwenye maeneo yao kwa ajili ya kuwasajili ili wapangiwe maeneo ya soko la muda kata ya Mbugani.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella akizungumza katika kikao cha bodi ya barabara cha robo ya kwanza kwa mwaka 2019/2020, alimuagiza mkurugenzi wa jiji la mwanza pamoja na mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela, kuona namna bora ya kuwapanga wafanyabiashara wadogo waliopo pembezoni mwa barabara kuu ya Mwanza - Musoma na za mitaa ya katikati ya jiji hilo ili wasiendelee kuzagaa ovyo barabarani.
 
Naona wananchi wanajipa kiburi na maneno ya Rais
Kuna vitu meko asiwe anaongea
 
Wapiga Kura Wangu Waacheni Akiwa Na Kitambulisho Cha Ujasiriamali Aachwe
Kama Hana Huyo Sawa
 
Wachinga nendeni mkapange biashara popote pale hata kama ni mbele ya ofisi ya mkuu wa mkoa-Magu

Sasa leo mbona huyo Mkurugenzi/Rc wanapingana na kauli ya huyo mkuu wa nchi.
 
Wafanyabiashara wadogo maarufu machinga waliopo pembezoni mwa barabara ya Pamba na mtaa wa Sokoni jijini Mwanza, ambao wanatakiwa kuhamia soko kuu la muda eneo la kata ya Mbugani, wamezua tafrani baada ya kutaka kumshambulia mkurugenzi wa halmashauri ya jiji hilo Kiomoni Kibamba wakati akitoa maelekezo ya kuwataka kupisha maeneo hayo.

Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa Machinga mkoani Mwanza Mahida Suleiman amesema tayari maeneo yote yamejaa wafanyabiashara wadogo, huku Bi. Anastazia Wambura ambaye ni mjasiriamali akiziomba mamlaka kuheshimu maelekezo ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ya kutowabugudhi machinga.

Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba amesema timu ya wataalam 6 kutoka jiji itapita kwenye maeneo yao kwa ajili ya kuwasajili ili wapangiwe maeneo ya soko la muda kata ya Mbugani.

Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella akizungumza katika kikao cha bodi ya barabara cha robo ya kwanza kwa mwaka 2019/2020, alimuagiza mkurugenzi wa jiji la mwanza pamoja na mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela, kuona namna bora ya kuwapanga wafanyabiashara wadogo waliopo pembezoni mwa barabara kuu ya Mwanza - Musoma na za mitaa ya katikati ya jiji hilo ili wasiendelee kuzagaa ovyo barabarani.
once upon a time MIZENGO KAYANZA PETER PINDA Said
" UKIWA MKAIDI UTAPIGWA TU"
 
WASUKUMA wamechafua hii nchi sana.
USHAMBA wao umekuwa kero, mtu anapelekwa kuuzia sokoni anataka kuuzia barabarani.

Hivi JIWE uliwaza nini kuachia wasukuma nchi nzima wapange biashara barabarani?

Nchi imekuwa chafu sawa na bangladesh.
Mkurugenzi tupo na wewe na mwisho utaibuka shujaa kama ASSAD, CAG
 
Hii taarifa haijakaa vizuri, nadhani ilitakiwa isomeke " Aliyekuwa........" Halafu inafuata sub-heading '"Kipigo hicho cha mbwa mwizi kilipelekea umauti kumfika papo hapo"
 
Tumetengeza bomu baya sana huko mbeleni kuhusu hawa machinga. wamevamilia kila eneo, hadi katikati ya barabara za lami wanafanya biashara hovyo (kariakoo ni mfano)! . uchafu kila mtaa
 
WASUKUMA wamechafua hii nchi sana.
USHAMBA wao umekuwa kero, mtu anapelekwa kuuzia sokoni anataka kuuzia barabarani.

Hivi JIWE uliwaza nini kuachia wasukuma nchi nzima wapange biashara barabarani?

Nchi imekuwa chafu sawa na bangladesh.
Mkurugenzi tupo na wewe na mwisho utaibuka shujaa kama ASSAD, CAG

Nchi nzima wamejaa wasukuma..?

BTW hao waliotapakaa mitaa ya Pamba sababu mojawapo ni kufurumushwa kutoka ‘soko kuu’ lililovunjwa kwa ukarabati.... waacheni wapigakura wetu wafanye biashara popote mradi wana kitambulisho.

IMG_3257.JPG
 
View attachment 1257850
Ndio upuuzi wenu huu sasa.
Ndio wamejaa wasukuma na wagogo wamejaa Dar omba omba huku Ndugai akiwapita kama hawajui baba zake wakubwa.

Sasa maduka ya nini kama unaweka mtu auze pembezoni mwa barabara?

huu ushamba mpaka lini?
mipang miji kunatengwa makazi, biashara viwanda , barabara sasa nyie baranara mnataka iwe duka ama soko, only usukumani na mmeleta hii tabia mpaka Dar.
 
Mbona hats uwo ujenzi was solo lenyewe limesimama mpaka sasa, kwani wanasubiri nini? Na waliwai kubomoa kwanini kama bado hawajajipanga?
 
Kwani unateseka..? [emoji16][emoji16][emoji16]

Acha watu wapige hela we endelea kulialia maisha magumu, mlichekelea kuuza vitambulisho halafu mnaanza kuwafukuza wajasiriamali.... furahia huduma ulipo tupo achana na mipango miji.

Dar ni sehemu ya soko tu kila mmoja anajua hilo, mikoani tunapata shida kufuata huduma mbali tunatamani zitapakae kila njia kama dasilamu.... tujifunze kuvumiliana kwa maana wapo wanaonufaika na huduma hizi.
 
Mbona hats uwo ujenzi was solo lenyewe limesimama mpaka sasa, kwani wanasubiri nini? Na waliwai kubomoa kwanini kama bado hawajajipanga?

Tulibomoa mapema ili mkajiandikishe kupiga kura, uchaguzi mmegomea sasa mnadai nini.... tunasubiri akili ziwakae sawa mwakani tutajenga na kujinadi.
 
Back
Top Bottom