once upon a time MIZENGO KAYANZA PETER PINDA SaidWafanyabiashara wadogo maarufu machinga waliopo pembezoni mwa barabara ya Pamba na mtaa wa Sokoni jijini Mwanza, ambao wanatakiwa kuhamia soko kuu la muda eneo la kata ya Mbugani, wamezua tafrani baada ya kutaka kumshambulia mkurugenzi wa halmashauri ya jiji hilo Kiomoni Kibamba wakati akitoa maelekezo ya kuwataka kupisha maeneo hayo.
Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa Machinga mkoani Mwanza Mahida Suleiman amesema tayari maeneo yote yamejaa wafanyabiashara wadogo, huku Bi. Anastazia Wambura ambaye ni mjasiriamali akiziomba mamlaka kuheshimu maelekezo ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ya kutowabugudhi machinga.
Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba amesema timu ya wataalam 6 kutoka jiji itapita kwenye maeneo yao kwa ajili ya kuwasajili ili wapangiwe maeneo ya soko la muda kata ya Mbugani.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella akizungumza katika kikao cha bodi ya barabara cha robo ya kwanza kwa mwaka 2019/2020, alimuagiza mkurugenzi wa jiji la mwanza pamoja na mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela, kuona namna bora ya kuwapanga wafanyabiashara wadogo waliopo pembezoni mwa barabara kuu ya Mwanza - Musoma na za mitaa ya katikati ya jiji hilo ili wasiendelee kuzagaa ovyo barabarani.
WASUKUMA wamechafua hii nchi sana.Wafanyabiashara wadogo maarufu machinga waliopo pembezoni mwa barabara ya Pamba na mtaa wa Sokoni jijini Mwanza, ambao wanatakiwa kuhamia soko kuu la muda eneo la kata ya Mbugani, wamezua tafrani baada ya kutaka kumshambulia mkurugenzi wa halmashauri ya jiji hilo Kiomoni Kibamba wakati akitoa maelekezo ya kuwataka kupisha maeneo hayo.
Mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa Machinga mkoani Mwanza Mahida Suleiman amesema tayari maeneo yote yamejaa wafanyabiashara wadogo, huku Bi. Anastazia Wambura ambaye ni mjasiriamali akiziomba mamlaka kuheshimu maelekezo ya rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli ya kutowabugudhi machinga.
Mkurugenzi wa halmashauri ya jiji la Mwanza Kiomoni Kibamba amesema timu ya wataalam 6 kutoka jiji itapita kwenye maeneo yao kwa ajili ya kuwasajili ili wapangiwe maeneo ya soko la muda kata ya Mbugani.
Mkuu wa mkoa wa Mwanza John Mongella akizungumza katika kikao cha bodi ya barabara cha robo ya kwanza kwa mwaka 2019/2020, alimuagiza mkurugenzi wa jiji la mwanza pamoja na mkurugenzi wa manispaa ya Ilemela, kuona namna bora ya kuwapanga wafanyabiashara wadogo waliopo pembezoni mwa barabara kuu ya Mwanza - Musoma na za mitaa ya katikati ya jiji hilo ili wasiendelee kuzagaa ovyo barabarani.
WASUKUMA wamechafua hii nchi sana.
USHAMBA wao umekuwa kero, mtu anapelekwa kuuzia sokoni anataka kuuzia barabarani.
Hivi JIWE uliwaza nini kuachia wasukuma nchi nzima wapange biashara barabarani?
Nchi imekuwa chafu sawa na bangladesh.
Mkurugenzi tupo na wewe na mwisho utaibuka shujaa kama ASSAD, CAG
Ndio upuuzi wenu huu sasa.Nchi nzima wamejaa wasukuma..?
BTW hao waliotapakaa mitaa ya Pamba sababu mojawapo ni kufurumushwa kutoka ‘soko kuu’ lililovunjwa kwa ukarabati.... waacheni wapigakura wetu wafanye biashara popote mradi wana kitambulisho.
View attachment 1257850
Mbona hats uwo ujenzi was solo lenyewe limesimama mpaka sasa, kwani wanasubiri nini? Na waliwai kubomoa kwanini kama bado hawajajipanga?Nchi nzima wamejaa wasukuma..?
BTW hao waliotapakaa mitaa ya Pamba sababu mojawapo ni kufurumushwa kutoka ‘soko kuu’ lililovunjwa kwa ukarabati.... waacheni wapigakura wetu wafanye biashara popote mradi wana kitambulisho.
View attachment 1257850
Ndio upuuzi wenu huu sasa.
Ndio wamejaa wasukuma na wagogo wamejaa Dar omba omba huku Ndugai akiwapita kama hawajui baba zake wakubwa.
Sasa maduka ya nini kama unaweka mtu auze pembezoni mwa barabara?
huu ushamba mpaka lini?
mipang miji kunatengwa makazi, biashara viwanda , barabara sasa nyie baranara mnataka iwe duka ama soko, only usukumani na mmeleta hii tabia mpaka Dar.
Mbona hats uwo ujenzi was solo lenyewe limesimama mpaka sasa, kwani wanasubiri nini? Na waliwai kubomoa kwanini kama bado hawajajipanga?