Mwanza: Mkutano wa hadhara wa CCM viwanja vya Furahisha wadoda

Mwanza: Mkutano wa hadhara wa CCM viwanja vya Furahisha wadoda

Hata sijui unaandika nini ! Jiwe ambaye hakuwahi kuwa hata katibu kata anawezaje kuondoka na ccm ?
Huo ndo ukweli yaani sahivi ccm na chadema hawapishani,
 hata huyo lissu ukiachilia ubunge aliokuwa nao uliopelekea akatunguliwa shaba, hana tena jipya kwenye siasa za sahivi,
ni porojo tu za kujitafuta
 
uwo ndo ukweli yaani sahivi ccm na chadema hawapishani
 hata huyo lissu ukiachilia ubunge aliokuwa nao uliopelekea akatunguliwa shaba hana tena jipya kwenye siasa za sahivi
ni porojo tu za kujitafuta
Umeishia darasa la ngapi ?
 
Hata sijui unaandika nini ! Jiwe ambaye hakuwahi kuwa hata katibu kata anawezaje kuondoka na ccm ?
Kwa hiyo Erythrocyte umegeuka mwana CCM?

Kisa sasa mbalambishwa asali(ila sio wewe)
Mwenyekiti na waxito,wewe unalamba wino wa keyboard kama upo!

CCM iliyoko mioyoni mwa watanzania kwa sasa sio hii ya rafiki zenu kina Kinana!

Hao pia wanaelewa hilo,ndio maana sasa mmeungana mnapigana na kaburi lake Magufuli!
-nmp87o_remastered.jpg


Pia angalia hii!
View attachment 2506537
 
Nilicho kishudia nikuwa hapakuwa na vibe kama la Chadema.Watu walikuwa hawana furaha
Chadema ilikuwa kitaifa!

CCM leo ilikuwa ki Jimbo zaidi.

Vibe la nini,watu wanataka sera na hoja na sio vibe la mwenyekiti Mbowe kuhutubia amelewa utafikiri ni Fiesta
 
Picha rasmi ni ile inayoonyesha Umati halisi,wakati mkutano ukiendelea!

Pia tungeona wahutubiaji wa mkutano,ndio tungepata uhakika wa tukio!

Picha hizi zote zimepigwa muda usiojulikana,huenda ilikuwa mapema kabla ya muda rasmi.

Kwa sababu,mpigaji tayari alikuwa na lengo rasmi la kuitumia picha yake!
Kujaribu kujibu mapigo ya kudorola kwa mikutano ya Chadema kanda ya Ziwa.
Jambo ambalo bado linaisumbua Chadema mpaka sasa!

Pia hata kwa umati huo,ukizingatia kwa sasa,wananchi hawatofautishi kati ya "Chadema" wala "CCM-Asali" kwa sababu kati ya hao hakuna mtetezi wao.
Bali genge la walamba asali.

CCM halisi aliondoka nayo huyu mwamba
[emoji116][emoji116]
View attachment 2506525
Ungejua nisivyoipenda CCM hata usingesumbuka kunijibu maelezo mareeefu hivyo
 
Back
Top Bottom