Mwanza: Mmiliki wa mabasi ya J4 ahukumiwa adhabu ya kifo kwa kuwaua watu wawili kwa kukusudia

JAMAANI HIZI KESI NYINGINE MNAZIWEKA HIVI KUNA NN MNACHUNGUXA

HUYUJAMAA ALIPUGA RISASI LIVE NA WENGINE WAKAKIMBIA SASA UCHUNGUZI SIKUZOTE N UPII AMA TUNAWAPA MDA WAWEKE SAWA MIRATHI
 
ila nasikia hawanyongi badala yake unakaa maisha jela kwa sababu hati ya kunyongwa mpaka Rais asaini
 
Sasa kwanini justice imekuwa delayed namna hiyo? Five f*cking years mtu yupo mahabusu tu.
 
Serikali magu haina cha wrwe ni tajiri.Serikali za nyuma watu kama hao walikuwa wanapeta tu.Mfano Ditopile ukiwa mzuzuri alitoka nje huku jaua.Wazee wakasema haya bwana tuone kama Albadiri nayo ina dhamana, alichokipata mzuzuri anajua na mungu wake.Haki haidhurumiwi.
 
Pesa za kuloga na kutoa makafara zinammaliziaga mhusika pabaya sana!! Sasa mali zitaisha kimaajabu familia ijitizame
 
Zakaria umri umeenda amekua ameacha ubabe,sijui aliwakosea nn had akatumiwa wasiojulikana silaha yake ikamuokoa wasiojulikana wakaomba po,mmoja wa wasiojulikana kule ikulu hakufai tena anaishia kula Kwa mkono
 
Sasa kwanini justice imekuwa delayed namna hiyo? Five f*cking years mtu yupo mahabusu tu.
Miaka mi5 ni mingi mno kwa uhai wa mwanadamu.

Hiyo kanuni ya delay hukumu kwenye muder case ni kwa ajili ya kukunyong'onyeza, hadi utambue kwamba dunia imekutenga!

Pili munkari wa ndugu za decesed ukute washapoapoa ama nao baadhi yao kuitwa mbele za haki na kupunguza ngebe.

Kifupi, hakuna kesi yenye adha hapa Tz kama kesi ya mauaji, uwe nacho ama usiwe nacho!

Ukijibaini umeua na umedakwa, tuliza munkari, bwaga moyo, penda mahabusu kuliko nyumbani kwako, askari jela na nyampara wapende kuliko unavyowapenda ndugu zako, badili tabia '(alter your psycology)' tena utulizane!

Hapo usipoangalia kwa hawa polisi na wanasheria vishoka ni fursa!

Kila mmoja hata asiyekuwa na msaada wowote kwako atapritend kuwa ana uwezo mkubwa sana wa kukusaidia.

Utanyongwa ama kutoka gerezani ukiwa hohehahe usiye na mbele wala nyuma kwa sababu ya hao watu,watakufirisi wakuache mtupu kabla ya hukumu kwa matumaini kwamba 'utasevu', hiyo ni ndoto ya mchana kweupe.

Utakufa na chawa zako mwilini ukiwa umetengwa na kila mtu.

Ndg zangu tuombeni kila kukicha na bila kuchoka ili M/Mungu atuepushe na balaa la kesi ya mauaji ya kukusudia, nchini Tz ni balaa.

Kuua kwa bahati mbaya, sijui kujihami, kuua mwizi, ama mauaji yaliyomo kwenye trafic case, hiyo ni issue nyingine na sijaiongelea hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah ni noma sana hii mzee. Yani ndio maana watanzania wengi hawapendi mambo ya kesi kwasababu ya danadana za legal systems zetu. Mtu anaamua kumwachia Mungu tu kuliko kupoteza muda na police na mahakama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…