KwetuKwanza
Senior Member
- Mar 13, 2023
- 127
- 245
ujisaidia vichakani ndiyo jadi yenuUjumbe huu uwafikie mamlaka husika ikiwemo Wizara ya Maji na Serikali Kuu kwa jumla, sisi Wakazi wa Mtaa wa Kaseze, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza hasa tunaoishi maeneo ya Mlimani tuna shida ya maji sana.
Maji kwetu ni mtihani mkubwa kiasi kwamba ni kawaida kuona baadhi ya Watu wakijisaidia vichakani, jambo ambalo ni hatari kwa afya zetu wote wakazi wa huku kwani mvua inaponyesha uchafu huo unasambaa na hivyo wengi wetu kuwa hatarini kupata magonjwa ya kuambukiza.
Tunawauliza Mamlaka za Mwanza kwani nini kimekwamisha sisi kupata huduma hiyo.
Kwakua wote wanaoish mwanza n wasukumaWasukuma k
ujisaidia vichakani ndiyo jadi yenu
REFORMS haziepukiki.Ujumbe huu uwafikie mamlaka husika ikiwemo Wizara ya Maji na Serikali Kuu kwa jumla, sisi Wakazi wa Mtaa wa Kaseze, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza hasa tunaoishi maeneo ya Mlimani tuna shida ya maji sana.
Maji kwetu ni mtihani mkubwa kiasi kwamba ni kawaida kuona baadhi ya Watu wakijisaidia vichakani, jambo ambalo ni hatari kwa afya zetu wote wakazi wa huku kwani mvua inaponyesha uchafu huo unasambaa na hivyo wengi wetu kuwa hatarini kupata magonjwa ya kuambukiza.
Tunawauliza Mamlaka za Mwanza kwani nini kimekwamisha sisi kupata huduma hiyo.
Bado nimetoka kuona video watoto wa shule wakienda kuchota maji mtoni muda ambao walitakiwa wawe wanasomaPoleni Sana wahusika wameshaona tayari