Mwanza mvua inashuka ni balaa. Wakazi wa mabondeni chukueni tahadhari

Mwanza mvua inashuka ni balaa. Wakazi wa mabondeni chukueni tahadhari

Ni maji kila kona. Mvua imeanza ya nguvu almost masaa 3 sasa. Hali si shwari. Nimeamua kukatisha safari.
Mkurugenzi wa Tanesco alisema pamoja na hizi mvua kunyesha sana haya maji ya mvua hayaingii kwenye mabwawa ya kuzalisha umeme......mgao uko pale pale

Job true true...poleni sana prospective wahanga in advance
 
Nilikua huko wiki kama 2 zimepita mvua ilipiga pale mabatini maji yakawa yanapita juu ya daraja tukazungukia buzuruga..shida ya mwanza hakuna barabara nyingi za michepuko....ile foleni yake ilikua noma..
 
Nchi nzima mvua inanyesha balaa ila mwezi wa Tisa mwakani Tanesco watakuja na Tangazo lao kina cha maji kimepungua kwenye Bwawa A na B hawana njia mbadala wa haya maji au huko Dawasco mqeneo mengi daslm maji ni kwenye madumu miaka nenda rudi..
 
Back
Top Bottom