Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kwenye heading kasema Mwanza?Upo Chooni au unakimbizwa?. Ni wapi huko maji kila kona. tanzania ni kubwa sana. Tuambie wapi huko. Hapa kanda ya kati leo sikiu ya pili jua inakandamiza kaka yote.
mwanza sijui ipoje yan ukishika barabara moja tu mji unajam main ways ni tatu kutokea. mjini kwenda pasiansi,buhongwa na igoma ukishika moja tu hapo center haingilikiNilikua huko wiki kama 2 zimepita mvua ilipiga pale mabatini maji yakawa yanapita juu ya daraja tukazungukia buzuruga..shida ya mwanza hakuna barabara nyingi za michepuko....ile foleni yake ilikua noma..
Umenikumbusha mwaka huo pale Mabatini karibu na Orange Tree hotel ilikuwa balaaUmenikumbusha kitambo sana hapo hood kijereshi
wasiwasi wangu sio wa watu wa mabondeni....ni watu wa milimani....jiwe likidondoka tu ni kiama.Ni maji kila kona. Mvua imeanza ya nguvu almost masaa 3 sasa. Hali si shwari. Nimeamua kukatisha safari.
Najuwa mwanangu ungekuwa hanang huko ungeshachukua number [emoji1]Watu acheni kuona wivu kwa wakazi wa hanang kupata ugeni mzito .yaan hadi mnajiombea mauriko
Si ya kucheka, yakawa ya HanangMawe yale yasije kuporomoka tu
Jografia yake imekaa vibaya..ni milima na majimwanza sijui ipoje yan ukishika barabara moja tu mji unajam main ways ni tatu kutokea. mjini kwenda pasiansi,buhongwa na igoma ukishika moja tu hapo center haingiliki
Hakuna shida mkuu. Tume itaudwa itakayogundua kuwa maji "yalitorokea" ardhini.Nchi nzima mvua inanyesha balaa ila mwezi wa Tisa mwakani Tanesco watakuja na Tangazo lao kina cha maji kimepungua kwenye Bwawa A na B hawana njia mbadala wa haya maji au huko Dawasco mqeneo mengi daslm maji ni kwenye madumu miaka nenda rudi..
Tayari nipo kateshNajuwa mwanangu ungekuwa hanang huko ungeshachukua number [emoji1]
Ushamseti mtu hapo kwa shw za badaye
Ova
Itakuwa NyegeziHusemi hata ni mwanza sehemu gani?
Magu sengerema kwimba misungwi ukerewe ilemela nyamagana
Una Bhalaa WeweTayari nipo katesh