Mwanza mvua inashuka ni balaa. Wakazi wa mabondeni chukueni tahadhari

Mwanza mvua inashuka ni balaa. Wakazi wa mabondeni chukueni tahadhari

Watu acheni kuona wivu kwa wakazi wa hanang kupata ugeni mzito .yaan hadi mnajiombea mauriko
 
Tumieni hizo mvua kwa kilimo; kwa sasa ulitakiwa uwe shambani
 
Upo Chooni au unakimbizwa?. Ni wapi huko maji kila kona. tanzania ni kubwa sana. Tuambie wapi huko. Hapa kanda ya kati leo sikiu ya pili jua inakandamiza kaka yote.
Si kwenye heading kasema Mwanza?
 
Nilikua huko wiki kama 2 zimepita mvua ilipiga pale mabatini maji yakawa yanapita juu ya daraja tukazungukia buzuruga..shida ya mwanza hakuna barabara nyingi za michepuko....ile foleni yake ilikua noma..
mwanza sijui ipoje yan ukishika barabara moja tu mji unajam main ways ni tatu kutokea. mjini kwenda pasiansi,buhongwa na igoma ukishika moja tu hapo center haingiliki
 
Ni maji kila kona. Mvua imeanza ya nguvu almost masaa 3 sasa. Hali si shwari. Nimeamua kukatisha safari.
wasiwasi wangu sio wa watu wa mabondeni....ni watu wa milimani....jiwe likidondoka tu ni kiama.
 
Watu acheni kuona wivu kwa wakazi wa hanang kupata ugeni mzito .yaan hadi mnajiombea mauriko
Najuwa mwanangu ungekuwa hanang huko ungeshachukua number [emoji1]
Ushamseti mtu hapo kwa shw za badaye

Ova
 
mwanza sijui ipoje yan ukishika barabara moja tu mji unajam main ways ni tatu kutokea. mjini kwenda pasiansi,buhongwa na igoma ukishika moja tu hapo center haingiliki
Jografia yake imekaa vibaya..ni milima na maji
 
Nchi nzima mvua inanyesha balaa ila mwezi wa Tisa mwakani Tanesco watakuja na Tangazo lao kina cha maji kimepungua kwenye Bwawa A na B hawana njia mbadala wa haya maji au huko Dawasco mqeneo mengi daslm maji ni kwenye madumu miaka nenda rudi..
Hakuna shida mkuu. Tume itaudwa itakayogundua kuwa maji "yalitorokea" ardhini.
 
Back
Top Bottom