Mwanza: Mvua kubwa ya mawe

Grand Canyon

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2020
Posts
545
Reaction score
1,191
Mvua kubwa imenyesha jijini Mwanza kuanzia saa 12:45 Mchana.
 
Imagen mkolan imenyesha dakika 3 tu na imekata hyo ya mawe ni wap uko
 
Miss Tanzania bado Yuko mitaa ya huko?
Ma miss na mvua mbali mbali.
 
Ungesema mwanza sehemu gani huku sangabuye tunaona wingu tu
 
...sasa hayo mawe si mkusanya mkaponde kokoto au mjengee! ndio neema zenyewe hizo...au ninasema uongo ndugu zangu...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…