Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Badala ya kumkamata Askari Polisi aliyevujisha Nyaraka za Siri za Serikali humu mtandaoni wanawakamata Waandishi wa Habari ambao ni Watu wema waliofichua uovu.Mwandishi wa Habari, Dinna Maningo pamoja na wenzake Waandishi wa Habari wawili wameachiwa huru baada ya kushikiliwa kwa zaidi ya wiki moja.
Taarifa zaidi zinafuata...
Wewe "ulishiriki" kumpiga risasi Lisu kwa vile ulikuwa kwenye serikali ya Jiwe katili, mbona hatujakusemaMsaidizi wa Paroko naye vipi?🐼