Unadrive all night long au upo kwa basi?Nimebakisha kilometres 400 hivi kufika.. Ndio nimetoka Singida muda si mrefu
See you there..! When you see me...! Over the top[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173]
Wasalimie wasukuma. Ukipata mademu wakalii wa kisukuma nitupie namba natuma nauli aje Dodoma 😎😎Na bus mkuu
Hayo niachie mimi we angalia kwa nje awe na shep matata na chura, kiuno nyigu na sura matata inatosha 🤣🤣🤣Sasa nitajuaje ni mcharo? Si itabidi nitest kwanza ?[emoji23]
Acha nasaha ujifika tuma namba. Usiondoke bila kupitia GamboshiMakinika sifa ya Rambo haionekani kwa macho [emoji23]