Nyegezi Bus Stand
Tatizo nina roba la zana
Vibuyu
Wataiba hiyo kesho tena kula balimi usilisahau roba lako tena🤣🤣🤣Tatizo nina roba la zana
Mapenzi ni hisia.. Huwa sivamii..[emoji23]
Ogopa kuvamia kuna mengi humokwahyo mkuu wewe unawasema wale ambao wakisafiri na wakalala nyumba ya wageni inaitwa “lodge” huwa hawakubali kulala wenyew. watahakikisha lazima wanyamdue
Ogopa kuvamia kuna mengi humo
Mapepo
Nuksi
Mikosi
Magonjwa
Kimavi
Kikwapa
Kuibiwa nknk
Ukimpata mmoja muulize changamoto zinazomkabili uonesasa kwa maisha ya “An african man” huwa analala na wanawake wengi inamaana atakuwa anabeba mikosi mingi kiasi hiko au?
Ukimpata mmoja muulize changamoto zinazomkabili uone
Pesa haikai
Mandoto ya ajabu
Mikosi isiyoisha
Amesafiri hana kikwapa ghafla karejea kwake anacho
Kasafiri hanuki mdomo karudi mdomo kama choo cha jiji[emoji16]
Kaondoka salama nyumbani karudi mkono hautoki huko chini, ni ukurutu, fangasi, mba na kujikuna nk
Pole kwa safariNyegezi Bus Stand
Linda manii zako kadiri uwezavyo, kuchepuka kunakupunguzia usafi na afya ya kiroho! Nioneshe changudoa tajiri, lakini kila siku anapata si chini ya 50 isiyo na tozo wala kodi na hapo keshakula keshakunywaujue unanitisha kwasababu huwa nasafiri sanaa mbali na home.
Kwahyo tufanyeje sasa kutopata mikosi mana kukaa na ngenye kipengele
Mshana Jr nimegundua wewe wajua sana mambo ya rohoni.Linda manii zako kadiri uwezavyo, kuchepuka kunakupunguzia usafi na afya ya kiroho! Nioneshe changudoa tajiri, lakini kila siku anapata si chini ya 50 isiyo na tozo wala kodi na hapo keshakula keshakunywa
Unajua ni kwanini wafalme huoa bikira? Hawataki kugawana nguvu kiroho na wengine
Unaweza ukapona na yote lakini HIV na Hepatitis B visikuache.. Ni mara chache ukaokoteza na kutoka salama salimini