Mwanza, Mwanza Mwanza mie leo mgeni wenu

Mwanza, Mwanza Mwanza mie leo mgeni wenu

Bahati nzuri umeingia usiku ukajionea mighorofa mpaka milimani na kujisemea Mwanza jiji zuri sana!

Ngoja kukuche uitazame ile mighorofa ya usiku utaishangaa Mwanza kumbe ni.Kijiji!
Ngoja kuche na nina Google pixel Shimba ya Buyenze atakoma [emoji23]
 
Ukimpata mmoja muulize changamoto zinazomkabili uone
Pesa haikai
Mandoto ya ajabu
Mikosi isiyoisha
Amesafiri hana kikwapa ghafla karejea kwake anacho
Kasafiri hanuki mdomo karudi mdomo kama choo cha jiji[emoji16]
Kaondoka salama nyumbani karudi mkono hautoki huko chini, ni ukurutu, fangasi, mba na kujikuna nk
Hii seminar usiondoke bila kutupatika ana kwa ana, sisi wanamwanza.
 
Bahati nzuri umeingia usiku ukajionea mighorofa mpaka milimani na kujisemea Mwanza jiji zuri sana!

Ngoja kukuche uitazame ile mighorofa ya usiku utaishangaa Mwanza kumbe ni.Kijiji!
Mwanza ndio jiji kubwa la pili Tanzania mkuu.

Mwanza si sawa na Arusha wala Mbeya.

Tupe heshima yetu mkuu hata kidogo

Ole na tuja Nkoi..
 
UWE MAKINI BOSS, WATU WA KULE NAO SI HABA KATIKA MASUALA YA KILINGENI
Sijaja kindezi [emoji23] [emoji1541][emoji1541][emoji1541]
20230509_075454.jpg
 
Linda manii zako kadiri uwezavyo, kuchepuka kunakupunguzia usafi na afya ya kiroho! Nioneshe changudoa tajiri, lakini kila siku anapata si chini ya 50 isiyo na tozo wala kodi na hapo keshakula keshakunywa
Unajua ni kwanini wafalme huoa bikira? Hawataki kugawana nguvu kiroho na wengine
Unaweza ukapona na yote lakini HIV na Hepatitis B visikuache.. Ni mara chache ukaokoteza na kutoka salama salimini

kwahyo nikiwa napiga nje niwe nabeba manii zangu kwny ndomu hapo vipi?[emoji23]

kwahyo mkuu unataka kunambia wewe hupigagi nje mkuu?
 
Back
Top Bottom