Unafikiri MD ni ya mchezo mpaka uje kufanya biashara, kama utaweza uwe unakaanga mandazi unasupply kuanzia kule hostel na wodini kuanzia C1 mpaka no 9 nina uhakika utakuwa unapiga hela nzuri Dr. luofe.
asante ndugu!
Anzisha mpesa tu,,ila mwanza ni pagumu kibiashara i mean ushirikina mwingi mtu asikwambie
kaka hali tete huku siku wakisema hawana maana yake ni kwamba hakuna chuo tena!
asante ndugu kwa wiki 50000 kwa mwezi 200000 kwa mwaka 2400000 its reasonable nnaeza nkalipa ada kwa biashara ya boda boda thank"s ndugu!
asante ndugu kwa wiki 50000 kwa mwezi 200000 kwa mwaka 2400000 its reasonable nnaeza nkalipa ada kwa biashara ya boda boda thank"s ndugu!
kuwa mchuuzi wa samaki unawahi asubuhi unachukua samaki kwa wavuvi unapeleka sokoni au kwenye mahoteli au unafuata mpunga sengerema unaleta mwanza.
kuwa mchuuzi wa samaki unawahi asubuhi unachukua samaki kwa wavuvi unapeleka sokoni au kwenye mahoteli au unafuata mpunga sengerema unaleta mwanza.