luofe
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 330
- 143
Nimechaguliwa kujiunga na chuo kikuu cha afya CUHAS (BUGANDO) kusoma MD but hali ya kiuchumi nyumbani sio nzuri sana nimefanikiwa kupata michango kutoka kwa watu mbalimbali na baada ya kulipia michango nimebakiwa na 1500000 na nisingependa kuendelea kuomba tena kwa miaka minne iliyobaki naomba mnishauri biashara ya kufanya katika mkoa tajwa hapo juu ambayo haiitaji usimamizi wa hali ya juu ili nisifanye vibaya chuoni! PLEASE KAMA HAUNA CHA KUNSHAURI PITA TU!