Hii ni zaidi ya hatari mkuu, matukio ya kutisha hayaElimu, ujinga, ushirikina uliopitiliza!!!
Kwa nini!?Hakuna ngosha kama wewe.
#MaendeleoHayanaChama
Tumuulize Mchungji, na Mbunge Gwaji Boy.Hili eneo kwanini ushirikina unaaminiwa sana ?
wengi ni wapagani ukisikia anaitwa juma au ramadhani usidhani ni muslim ukimsikia anaitwa john au mathayo hata mlango wa kanisa wala msitikiti hajawahi ingia ukimuuliza umesilimu anakuambia hapana umebatizwa anakuambia hapana anakujibu jina alilipendagaa tuu hivyo wengi wanadanganywa na waganga wa kienyeji wapiga ramliWasukuma, shida iko wapi? Elimu, ujinga, ushirikina uliopitiliza!!!
Shida iko wapi kwa watu wa Kanda ya Ziwa?
diwani na Afisa mtendaji mmmmh hawa walikuwa wahusika wa kuuza shamba! ukute liliuzwa kwa mmoja kati ya hawa wawili! mahakama za nini kwa wauaji! hao ni kufanya upelelez kati yao kujua wahusika kamili basi kuwaua na wenyewe tu! janda ya ziwa kunanuka damu za ushirikina na ujinga mwingiDavid Shilime (Diwani), William Nengo (Mwenyekiti wa CCM Kijiji cha Ikoni B) na Tiluloza Alfonce (Afisa Mtendaji) wote wa Kata ya Buzilasoga Wilayani Sengerema ni kati ya watuhumiwa 14 wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Getruda Dotto mkazi wa kijiji hicho wakimtuhumu kwa wizi wa mihogo.
Walimtuhumu Getruda kuvamia shamba la Scolastica John ambalo lilikuwa likimiliwa na mume wa marehemu lakini liliuzwa na wanaukoo bila kumshirikisha Getruda siku ya msiba wa mumewe, Ndebete Miharalo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema wanadaiwa kumshambulia kwa fimbo na rungu kisha kumchoma moto kwa vipande vya miti.
View attachment 2410526
View attachment 2410527
View attachment 2410528
View attachment 2410529
Rais Samia amebaba sa a sasawamehami kwenye wizi wa mihogo😅😅David Shilime (Diwani), William Nengo (Mwenyekiti wa CCM Kijiji cha Ikoni B) na Tiluloza Alfonce (Afisa Mtendaji) wote wa Kata ya Buzilasoga Wilayani Sengerema ni kati ya watuhumiwa 14 wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Getruda Dotto mkazi wa kijiji hicho wakimtuhumu kwa wizi wa mihogo.
Walimtuhumu Getruda kuvamia shamba la Scolastica John ambalo lilikuwa likimiliwa na mume wa marehemu lakini liliuzwa na wanaukoo bila kumshirikisha Getruda siku ya msiba wa mumewe, Ndebete Miharalo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema wanadaiwa kumshambulia kwa fimbo na rungu kisha kumchoma moto kwa vipande vya miti.
View attachment 2410526
View attachment 2410527
View attachment 2410528
View attachment 2410529
HahahaWaliiba kura Sasa mihogo
TrueWaharifu wote wamejificha ccm..huko ndiko hupata kinga dhidi ya dola.
#MaendeleoHayanaChama
😅😅😅wala mihogoHuku ndo wanajotokea kina Paulsylvester Suzy Elias Nyankurungu2020 Crimea Stroke BakiliMuluzi na sukuma gang wengine
Wanajifanya wanamjua Mungu wakati kazi ni ushirikina tu na kuuana. Ndo mana ikeja kutokea wametoa tena Rais wa Tanzania hawa watu labda iwe mwaka 5000
Hao ndio Madiwani wa CCM e wenye ukatili kiasi hiki wakuachie ushindi wa Kura za masanduku🤣🤣🤣David Shilime (Diwani), William Nengo (Mwenyekiti wa CCM Kijiji cha Ikoni B) na Tiluloza Alfonce (Afisa Mtendaji) wote wa Kata ya Buzilasoga Wilayani Sengerema ni kati ya watuhumiwa 14 wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Getruda Dotto mkazi wa kijiji hicho wakimtuhumu kwa wizi wa mihogo.
Walimtuhumu Getruda kuvamia shamba la Scolastica John ambalo lilikuwa likimiliwa na mume wa marehemu lakini liliuzwa na wanaukoo bila kumshirikisha Getruda siku ya msiba wa mumewe, Ndebete Miharalo.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema wanadaiwa kumshambulia kwa fimbo na rungu kisha kumchoma moto kwa vipande vya miti.
View attachment 2410526
View attachment 2410527
View attachment 2410528
View attachment 2410529
Utopolo wameweka kambi Kirumba, mihogo imekuwa adimuNini kimetokea huko kando ya ziwa.
Kwani huko uchawi ni dini ?Ndio asili yao wasukuma tumeamu kuzikataa dini za wahuni wazungu na waarabu.
#MaendeleoHayanaChama
Halafu kuna mtu anaiita Mihogo Miyanga.... Yaani hii nchi ishakuwa ngumu sana... Toka Hersi atuseme sisi wala Mihogo....imekuwa shida.Wasukuma, shida iko wapi? Elimu, ujinga, ushirikina uliopitiliza!!!
Shida iko wapi kwa watu wa Kanda ya Ziwa?
Wasukuma, shida iko wapi? Elimu, ujinga, ushirikina uliopitiliza!!!
Shida iko wapi kwa watu wa Kanda ya Ziwa?
Wasukuma walio wengi hawana elimu.Kwa nini!?