Mwanza: Mwenyekiti wa CCM, Diwani, Afisa Mtendaji washikiliwa kwa tuhuma za mauaji kisa wizi wa mihogo

Wasukuma, shida iko wapi? Elimu, ujinga, ushirikina uliopitiliza!!!

Shida iko wapi kwa watu wa Kanda ya Ziwa?
wengi ni wapagani ukisikia anaitwa juma au ramadhani usidhani ni muslim ukimsikia anaitwa john au mathayo hata mlango wa kanisa wala msitikiti hajawahi ingia ukimuuliza umesilimu anakuambia hapana umebatizwa anakuambia hapana anakujibu jina alilipendagaa tuu hivyo wengi wanadanganywa na waganga wa kienyeji wapiga ramli
 
Sipendi mambo ya ukabila lakini ukweli ni kwamba sisi Wasukuma wengi wetu ni watu washamba na wajinga sana!
Imani za kishirikina zina Nguvu sana na mbaya zaidi wanaendelea kurithishana kizazi hadi kizazi!
Haki za Binadamu kwa Wasukuma ni msamiati mgumu sana!
 
David Shilime (Diwani), William Nengo (Mwenyekiti wa CCM Kijiji cha Ikoni B) na Tiluloza Alfonce (Afisa Mtendaji) wote wa Kata ya Buzilasoga Wilayani Sengerema ni kati ya watuhumiwa 14 wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Getruda Dotto mkazi wa kijiji hicho wakimtuhumu kwa wizi wa mihogo.

Walimtuhumu Getruda kuvamia shamba la Scolastica John ambalo lilikuwa likimiliwa na mume wa marehemu lakini liliuzwa na wanaukoo bila kumshirikisha Getruda siku ya msiba wa mumewe, Ndebete Miharalo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema wanadaiwa kumshambulia kwa fimbo na rungu kisha kumchoma moto kwa vipande vya miti.

View attachment 2410526

View attachment 2410527
View attachment 2410528
View attachment 2410529
diwani na Afisa mtendaji mmmmh hawa walikuwa wahusika wa kuuza shamba! ukute liliuzwa kwa mmoja kati ya hawa wawili! mahakama za nini kwa wauaji! hao ni kufanya upelelez kati yao kujua wahusika kamili basi kuwaua na wenyewe tu! janda ya ziwa kunanuka damu za ushirikina na ujinga mwingi
 
David Shilime (Diwani), William Nengo (Mwenyekiti wa CCM Kijiji cha Ikoni B) na Tiluloza Alfonce (Afisa Mtendaji) wote wa Kata ya Buzilasoga Wilayani Sengerema ni kati ya watuhumiwa 14 wanaoshikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Getruda Dotto mkazi wa kijiji hicho wakimtuhumu kwa wizi wa mihogo.

Walimtuhumu Getruda kuvamia shamba la Scolastica John ambalo lilikuwa likimiliwa na mume wa marehemu lakini liliuzwa na wanaukoo bila kumshirikisha Getruda siku ya msiba wa mumewe, Ndebete Miharalo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza, Wilbroad Mutafungwa amesema wanadaiwa kumshambulia kwa fimbo na rungu kisha kumchoma moto kwa vipande vya miti.

View attachment 2410526

View attachment 2410527
View attachment 2410528
View attachment 2410529
Rais Samia amebaba sa a sasawamehami kwenye wizi wa mihogo😅😅
 
Hao ndio Madiwani wa CCM e wenye ukatili kiasi hiki wakuachie ushindi wa Kura za masanduku🤣🤣🤣
 
Wasukuma, shida iko wapi? Elimu, ujinga, ushirikina uliopitiliza!!!

Shida iko wapi kwa watu wa Kanda ya Ziwa?
Halafu kuna mtu anaiita Mihogo Miyanga.... Yaani hii nchi ishakuwa ngumu sana... Toka Hersi atuseme sisi wala Mihogo....imekuwa shida.
 
Wasukuma, shida iko wapi? Elimu, ujinga, ushirikina uliopitiliza!!!

Shida iko wapi kwa watu wa Kanda ya Ziwa?

Umaskini ni mbaya sana, wanashindwaje muonya? Nini hapo kafanga kistahili kifo
 
Ila kiukweli nalikubali sana jeshi la Polisi hayo malalamiko sijui rushwa ni vitu vidogo sana na nikutokana na bajeti yao kuwa ndogo na kama unavyojua ukiagizwa kumkamata mhalifu ni amri tu hakuna kuuliza nauli oohh sijui usafiri wa kwenda kumchukua ni kujiongeza mwenyewe.
 
Back
Top Bottom