Mwanza: Mwenyekiti wa Kitongoji abaka shemeji yake ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la 6

Nakubaliana na wewe, mtoto ukimzaa jitaidi kumlea mwenyewe sio kuwaachia ndugu zako wakulelee.
 
Nakubaliana na wewe, mtoto ukimzaa jitaidi kumlea mwenyewe sio kuwaachia ndugu zako wakulelee.
Watu wamekuwa mashetani mno yani hata ukimlea mwenyewe bado tu kuna mabaradhuri yataleta balaa.

Ubinadam kazi kweli.
 
Yani huyu jamaa walitakiwa wananchi wenye hasira kali wampe chai kidogo akili zingetulia, moja kwa moja angejipeleka jela na kupunguza msongamano wa watu kujaa mahakamani.
 
Duuh! Utelezi umekuwa shida sana aisee!
 
Hao ndio ccm bwana,yani chama kunejaa majambazi,wabakaji,wauza papa,mafisadi....ccm mbele kwa mbele[emoji444]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…