LGE2024 Mwanza: Nane mbaroni kwa kukimbia na kura za mwenyekiti

LGE2024 Mwanza: Nane mbaroni kwa kukimbia na kura za mwenyekiti

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wakuu,

Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza ambae pia ni Msimamizi wa uchaguzi katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba amesema kuwa baadhi ya vijana katika kata ya Lwahnima wamevamia kituo cha kupigia kura za mwenyekiti na kutoweka nazo ambapo jitihada zimefanywa na watu hao wamekamatwa.
 
Mchengerwa .aka mkwe mwenye kifua kipana oyeeeeee
Ccm oyeeee
Unachukua unaweka waaaa
 
Wakuu,

Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza ambae pia ni Msimamizi wa uchaguzi katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba amesema kuwa baadhi ya vijana katika kata ya Lwahnima wamevamia kituo cha kupigia kura za mwenyekiti na kutoweka nazo ambapo jitihada zimefanywa na watu hao wamekamatwa.​

wachukuliwe hatua kali mno za kisheria ili iwe fundisho kwa wengine wenye tabia kama hiyo :pulpTRAVOLTA:
 
Wakuu,

Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza ambae pia ni Msimamizi wa uchaguzi katika Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Kiomoni Kibamba amesema kuwa baadhi ya vijana katika kata ya Lwahnima wamevamia kituo cha kupigia kura za mwenyekiti na kutoweka nazo ambapo jitihada zimefanywa na watu hao wamekamatwa.​

CCM ni Majizi
 
1000040139.png
 
Back
Top Bottom